kanuni

Suleiman I (Ottoman Turkish: سلطان سليمان اول‎ Sultan Süleyman-ı Evvel; Turkish: Birinci Süleyman, Kanunî Sultan Süleyman or Muhteşem Süleyman; 6 November 1494 – 6 September 1566), commonly known as Suleiman the Magnificent in the West and Kanunî Sultan Süleyman (Ottoman Turkish: قانونى سلطان سليمان‎; "Suleiman the Lawgiver") in his realm, was the tenth and longest-reigning Sultan of the Ottoman Empire from 1520 until his death in 1566. Under his administration, the Ottoman state ruled over at least 25 million people.
Suleiman succeeded his father as sultan in September 1520 and began his reign with campaigns against the Christian powers in central Europe and the Mediterranean. Belgrade fell to him in 1521 and Rhodes, long under the rule of the Knights of St. John, in 1522–23. At Mohács, in August 1526, Suleiman broke the military strength of Hungary, with the Hungarian king Louis II losing his life in the battle.
Suleiman became a prominent monarch of 16th-century Europe, presiding over the apex of the Ottoman Empire's economic, military and political power. Suleiman personally led Ottoman armies in conquering the Christian strongholds of Belgrade and Rhodes as well as most of Hungary before his conquests were checked at the Siege of Vienna in 1529. He annexed much of the Middle East in his conflict with the Safavids and large areas of North Africa as far west as Algeria. Under his rule, the Ottoman fleet dominated the seas from the Mediterranean to the Red Sea and through the Persian Gulf.At the helm of an expanding empire, Suleiman personally instituted major legislative changes relating to society, education, taxation and criminal law. His reforms, carried out in conjunction with the empire's chief judicial official Ebussuud Efendi, harmonized the relationship between the two forms of Ottoman law: sultanic (Kanun) and religious (Sharia). He was a distinguished poet and goldsmith; he also became a great patron of culture, overseeing the "Golden" age of the Ottoman Empire in its artistic, literary and architectural development.Breaking with Ottoman tradition, Suleiman married Hürrem Sultan, a woman from his harem, an Orthodox Christian of Ruthenian origin who converted to Islam, and who became famous in the West by the name Roxelana, purportedly due to her red hair. Their son Selim II succeeded Suleiman following his death in 1566 after 46 years of rule. Suleiman's other potential heirs, Mehmed and Mustafa, had died; the former had died from smallpox, and the latter had been strangled to death 13 years earlier at the sultan's order. His other son Bayezid was executed in 1561 on Suleiman's orders, along with Bayezid's four sons, after a rebellion. Although scholars no longer believe that the empire declined after his death, the end of Suleiman's reign is still frequently characterized as a watershed in Ottoman history. In the decades after Suleiman, the empire began to experience significant political, institutional, and economic changes, a phenomenon often referred to as the Transformation of the Ottoman Empire.

View More On Wikipedia.org
  1. Everton yakatwa pointi 10 kwa ukiukwaji wa Kanuni za Fedha za Premier League

    Timu ya Everton imekatwa pointi 10 katika Ligi Kuu ya England (Premier League) kwa kosa la kukiuka Kanuni ya Fedha (Faida na Uendelevu), hali ambayo ilitokea katika Msimu wa 2021/22. Baada ya kutangazwa kwa adhabu hiyo, uongozi wa Klabu ya Everton umesema utakata rufaa kwa kuwa adhabu hiyo...
  2. Mfalme wa Dubai atangaza kanuni kumi za kuendesha uchumi kwa miaka kumi ijayo

    Mfalme wa Dubai,Sheikh Mohammed ametangaza kanuni kumi atakazozitumia kuongoza uchumi katika kipindi cha miaka kumi ijayo. 1. Nchi itakuwa na uchumi wa soko huria UAE itakaribisha biashara ya kimataifa bila vikwazo, unasema waraka huo. Itaunda uhusiano wa kiuchumi na ulimwengu, ikitoa...
  3. Kutolewa kwa kanuni ndiyo imekuwa wimbo kwa Simba sasa wamesahau Yanga pia alikosa kubeba ubingwa wa shirikisho kikanuni pia!

    Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao! Kufuzu makundi klabu bingwa kanuni iyo iyo ndio iliyowabeba na kuwanusuru wasitupwe nje ya michuano dhidi...
  4. Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

    Kwa nini nafasi za kiharusi ni nyingi katika bafu VIPIGO huwa vingi kwenye bafu kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaloweka kichwa na nywele kwanza, ambayo ni njia mbaya. Kwa njia hii, ikiwa unamwagilia kichwa mara ya kwanza, damu huinuka kwa kichwa haraka na mishipa inaweza kupasuka. Matokeo...
  5. Wenye nguvu ya kupotezea kuchapiwa ni wachache na hao ndio wanaume

    Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna alivyomfumania mke wake akinyanduana na mjomba wake ambae ni kaka wa Mama yake mzazi. Aliwakuta live akaita...
  6. Naomba kueleweshwa kanuni ya kufuzu kwa goli la kujifunga

    Jamani wenye uelewa tujulishane, kama watu wame droo 3-3 hii kanuni ikoje
  7. M

    Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

    Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
  8. Aliyeteuliwa kuwa Waziri wa michezo Dkt. Damas Ndumbaro aliwahi kufungiwa miaka 7 kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi na TFF kwa kukiuka kanuni

    Kwanza Kabisa natoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Hassan Suluhu Kufanya ReShuffling ya Mawaziri mbalimbali amefanya kitu ambacho Tanzania wengi walikuwa wanahitaji. Moja ya Watu walioguswa na hii Reshuffling yumo Mheshimiwa Dr Damas Ndumbaro. Tujikumbushe Mwaka 2014 akiwa Mwenyekiti wa Kamati...
  9. Askofu Shoo ataka kanisa liongozwe kwa kanuni ili kuepuka migogoro

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo,amelitaka kanisa hilo liongozwe kwa misingi ya kanuni,sheria na taratibu ambazo wamejiwekea ili kutokuingia katika matatizo na migogoro. Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa hilo...
  10. Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya ajabu imepitishwa? Nionavyo mimi kanuni hii inalenga kuwarudisha nyuma wachezaji kiuchumi na...
  11. K

    Unaijua kanuni iliyosababisha mechi ya Azam FC na Kitayosce kuvunjika?

    SURA: V MCHEZO Kanuni: 17 Taratibu za Mchezo (1) Michezo yote ya Ligi Kuu itachezwa kwa kufuata sheria kumi na saba za mpira wa miguu za FIFA (17 Laws of the Game). (2) Kutakuwa na mkutano wa kitaalamu wa Maandalizi na Uratibu wa mchezo (MCM) utakaofanyika kabla ya mchezo, saa 4:00 (nne) asubuhi...
  12. C

    Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  13. Naomba msaada wa Kisheria Kanuni za kazi

    Habari wapendwa? Tafadhali naomba ufafanuzi wenu juu ya hili Je, nini maana ya Part time worker? Na sheria ya kazi imetafsiri vipi juu ya Part time? Na je, Huyu Part time worker ni lazima akatwe pesa kwa ajili ya mifuko ya akiba ya kijamii?
  14. Kitendo cha Mzee Stephen Wasira Kuvunja Sabato Hadharani: Je atapewa adhabu kwa mujibu wa kanuni za Kanisa?

    Kwa mujibu wa Kanuni za Kanisa la Waadventista Wasabato, yapo mambo 13 ambayo ikibainika bila shaka kuwa umeyafanya, adhabu yake ni KUFUTWA USHIRIKA au kupewa karipio ( inategemea na situation). Kitendo cha KUVUNJA SABATO ni miongoni mwa mambo hayo. Kanisa la Waadventista Wasabato linaamini...
  15. B

    Ni kweli maisha magumu, lakini tumia kanuni hii 50%+30%+20 kuyalainisha

    50% ya kipato chako fanya matumizi ya muhimu / ya lazima mfano kulipa kodi au ada ya mtoto. 30% ya mshahara au kipato chako tumia kwa matumizi yasiyo na ulazima, mfano kukunua nguo, radio, saa, kwenda beach, kwa kifupi mwagilia moyo, hivyo ni vitu ambavyo sio vya lazima yaani usipovifanya...
  16. Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  17. Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao. Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora. Ahsanteni.
  18. Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  19. Hivi hawa ball boys wanaongozwa na kanuni?

    Hivi kuna kanuni ya mpira inayowaongoza vijana waokota mipira? Tumeona juzi kwenye mechi ya Yanga na USMA jinsi ambavyo vijana waokota mipira walivyotumika kuathiri mchezo. Wakirusha mipira miwili miwili ili kupooza mchezo na kupoteza muda. kuna sheria za mpira zinazowaongoza vijana hawa...
  20. H

    Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…