Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi!
Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 vyama vitakavyotaka kushirikiana ni lazima viingie mkataba wa kisheria na kuweka wazi maeneo ya ushirikiano wao.
Msajili msaidizi mh Nyahuza amesema uchaguzi wa mwaka 2015 uliacha vidonda baada ya chama kimoja kilichoungwa mkono kupitia UKAWA kuvisahau...
KANUNI YA HOFU, MSHINDE ADUI
Na, Robert Heriel
Hii ni sehemu katika kitabu cha Nadharia za Taikon.
Haki zote zimehifadhiwa.
Maandishi ya Robert Heriel kwa Lugha ya Kiswahili.
Hofu ni hali ambayo mtu huwa nayo pale anapokabiliwa na jambo fulani lenye madhara. Mara nyingi hofu hujengwa na...
Aisee vijana wenzangu
Unajua watu tunashindwa kuelewa uvivu ni nini in such au tunajitia kutokuelewa?
Kuna uvivu wa kutenda (kufanya kazi kwa vitendo na ule uvivu wa kufikiri sasa ndugu yangu wewe endelea kusema mwenzio mvivu kutwa kushinda hapa JamiiForums, wakati yawezekana mwenzio ni...
Sheria ya Vyama vya Siasa(marekebisho ya sheria) ya mwaka 2018 katika kifungu 11(c) kinaruhusu vyama vya siasa kushirikiana kwa malengo ya kisiasa huku kanuni za kuunda ushirikiano huo zikiachwa mikononi mwa waziri husika.
Swali langu ni je,wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu baadae mwaka...
Mwenezi Polepole ambaye pia ni mlezi wa chama mkoa wa Arusha amewataka wabunge kuendelea kukutana na wananchi na kukamilisha ahadi walizotoa mwaka 2015.
Hata hivyo Polepole amezuia watu wengine kufanya mkutano na wananchi kana kwamba wao ni wabunge.
Polepole amewaruhusu wabunge kuwanunulia...
Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali.
Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani...
Nimepata kazi naombeni kanuni za kuishi na boss mwanamke, madhaifu yao pia, wanapenda nini pia
Nimewakilisha wacha nisubirie.
Nimalizie kwanza taratibu kulamba mfupa uliowashinda fisi nipo nao ndani hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.