karagwe

Karagwe is one of the eight districts of the Kagera Region of Tanzania. It is bordered to the north by Uganda, to the east by the Bukoba Rural District, to the southeast by the Muleba District, to the south by the Ngara District and to the west by Republic of Rwanda, from which it is divided by the River Kagera. Small lakes such as the Ikimba, Burigi, Rushwa, and Rwakajunju provide fishing opportunities for residents of the Karagwe District. The district covers and area of 5,134 square kilometres (1,982 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
  2. K

    Ajali mbaya Wilayani Karagwe

    Kumetokea ajali mbaya Wilayani Karagwe iliyohusisha Semi iliyogonga Hiace na Coaster.Ajali hiyo imetokea majira ya saa sita leo maeneo ya Kihanga Berrier.. Inasemekana zaidi ya watu 15 wamefariki hapo hapo.
  3. Mathias Byabato

    Ajali mbaya ya Gari 3 Karagwe Mkoani Kagera, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha

    Mkuu wa wilaya ya Karagwe Kalanga Lisser,amedhibitisha kutokea ajali ,katika eneo la Kiyanga wilayani humo. Dc Kalanga,ameongea na kasibante radio Bukoba,ambapo amesema kuwa kwa sasa hawezi dhibitisha vifo ni vingapi na majeruhi ila ajali ni mbaya. Amesema kuwa roli likiwa limebeba...
  4. Roving Journalist

    Bashungwa: Nenda rudi ya Baraza la Ardhi Karagwe inarudisha nyuma maendeleo ya Wananchi

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
  5. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Amkabidhi Mkandarasi Ujenzi wa Barabara Kyerwa - Omurushaka (Karagwe)

    BASHUNGWA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA BARABARA KYERWA - OMURUSHAKA (KARAGWE). Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango...
  6. Roving Journalist

    Bashungwa amkabidhi mkandarasi ujenzi wa Barabara Kyerwa - Omurushaka (Karagwe)

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km 50) kwa kiwango cha lami na kuuagiza Wakala ya Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi huyo ili...
  7. Roving Journalist

    LGE2024 Waziri Bashungwa aongoza uhamasishaji Wananchi wa Karagwe kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
  8. Hae Mosu

    Serikali itupie macho Ofisi ya Utumishi Karagwe

    Kuna tatizo kubwa Kwa Afisa Utumishi wa HALMASHAURI ya KARAGWE hasa katika suala la kuhudumia watumishi. Inajulikana kuwa Serikali kupitia wizara ya Utumishi wa Umma imetoa nafasi Kwa watumishi Kwa ambao wanahitaji kuhama ili kufuata wenza wao, waombe uhamisho ila kwa Karagwe, Afisa Utumishi...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mashindano KNK CUP 2024 Yahitimishwa, Mabingwa wa Bukombe & Karagwe Kuchuana

    Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka Kata 17 za Wilaya ya Bukombe imehitishwa kwa kishindo na timu ya Chui FC kutoka Kata ya Butinzya iliibuka kidedea dhidi ya...
  10. A

    DOKEZO TAKUKURU, TAMISEMI mje Karagwe - Kagera, Walimu Wakuu na Maafisa Elimu (Karagwe) wanaumiza wanaopewa tenda

    Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya Shule za Msingi. Inapotokea kuna tenda Mkandarasi anapata inayohusu Shule fulani, ili uweze kupata...
  11. Stephano Mgendanyi

    Ligi ya Bashungwa Karagwe CUP 2024 yahitimishwa kwa kishindo, Rais Samia apewa tano

    Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
  12. A

    Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
  13. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Nchimbi Amuagiza Bashungwa, Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa - Karagwe Kuanza

    DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha...
  14. Roving Journalist

    DKT. Nchimbi amuagiza Bashungwa, ujenzi wa Barabara ya Kyerwa – Karagwe uanze

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja ili kuondoa adha wanazozipata wananchi wa Wilaya ya...
  15. Jamii Opportunities

    Mtendaji wa Kijiji nafasi 9 Karagwe -July, 2024

    POST VILLAGE EXECUTIVE III – 9 POST EMPLOYER Karagwe District Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Accounts Officer and chief executive of the village government; To manage the protection and safety of citizens and their properties, to...
  16. Jamii Opportunities

    Dereva Daraja II - nafasi 4 Karagwe - Julai, 2024

    POST DRIVER CLASS II – 4 POST EMPLOYER Karagwe District Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; Sending employees to different places on business...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Awakaribisha Wawekezaji Karagwe, Miundombinu Yaendelea Kuboreshwa

    BASHUNGWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KARAGWE, MIUNDOMBINU YAENDELEA KUBORESHWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inyoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombunu ya barabara katika Wilaya ya Karagwe hivyo amewataka...
  18. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Mabati 519 Ujenzi wa Bwalo, Serikali Kujenga Mabweni Shule ya Sekondari ya Bugene - Karagwe

    BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE. Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Bashungwa Ashiriki Misa ya Pasaka Jimboni Karagwe

    BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga wilayani Karagwe kushiriki Misa Takatifu ya Pasaka, leo tarehe 31 Machi 2024. Misa hiyo Takatifu...
  20. DodomaTZ

    Makumbusho ya Banyambo inayoitwa Karagwe Heritage Museum yazinduliwa

    Machi 22, 2024 Kutoka Mji mdogo wa Omurushaka katika Uzinduzi wa Makumbusho ya Banyambo inayoitwa KARAGWE HERITAGE MUSEUM, uzinduzi ulienda sambamba na uzinduzi wa Kitabu cha KARAGWE, HISTORIA, MILA NA DESTURI ambacho kimeandikwa na Mtaalam Bullet Ruhinda akishirikiana na Frontline Ruhinda...
Back
Top Bottom