Karagwe is one of the eight districts of the Kagera Region of Tanzania. It is bordered to the north by Uganda, to the east by the Bukoba Rural District, to the southeast by the Muleba District, to the south by the Ngara District and to the west by Republic of Rwanda, from which it is divided by the River Kagera. Small lakes such as the Ikimba, Burigi, Rushwa, and Rwakajunju provide fishing opportunities for residents of the Karagwe District. The district covers and area of 5,134 square kilometres (1,982 sq mi).
Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia.
Vigezo!
1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti
2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote
3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
BASHUNGWA AWAPA NGUVU WAWEKEZAJI WA VIWANDA KARAGWE.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wawekezaji wa Viwanda katika Wilaya Karagwe mkoani Kagera kuwa Serikali itaendelea kuwaunga mkono kwa kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Wawekezaji hao...
KAGERA: Mahakama ya Wilaya Karagwe imewahukumu waliokuwa waajiriwa wa Chama cha Ushirika Caisalius Mathias Rugemalira (Kaimu Meneja), Renatus Gerald, (Kaimu Mhasibu) na Revelian M. Makune, (Mwenyekiti wa Bodi) kwenda jela Miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,800,00 kwa Ubadhirifu wa Fedha za Chama...
Shule ya msingi Kigarama iliyopo katika Kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera ni miongoni mwa shule kongwe wilayani Karagwe. Shule hii kwa sasa inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo upungufu wa madarasa pamoja na shida vya matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi.
Mwaka jana 2022...
Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu"
Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali
Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kijiji cha Kasheshe, Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya...
Habari wakuu,
Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100.
Asanteni
Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI.
TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti wapate walimu wenzao wa kubadilishana nao.
Sasa ni hivi, inakuwaje mmeruhusu watumishi hasa walimu...
WAZIRI AWESO AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA RUWASA KARAGWE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.