karatasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  2. W

    Huwa unatumia njia Gani kuharibu Nyaraka na Karatasi zenye Taarifa zako binafsi?

    Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
  3. Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

    Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani. CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania. Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele. CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
  4. B

    Jipsum board zenye karatasi kwa akili ya nyumba zinazovuja

    Wadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material sikutishi kuona, jeo ni kweli kuna jipsum board za aina hiyo. Km zipo bei zake zikoje. Mwenye kijua...
  5. I

    Hivi hii pesa ya Iran ikoje.? Mbona kama karatasi tu wakati wanatumia pesa nyingi kufadhili ugaidi..😲😲

    CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi. Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni...
  6. LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  7. LGE2024 Shinyanga: Wananchi wafichua kukosekana kwa karatasi za kupigia kura. Karatasi za kwenye notebook zatumika kama mbadala

    Wakuu, Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi. Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika...
  8. LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

    Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo" Soma pia: Mbinu za wizi wa kura...
  9. LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  10. Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  11. Ni wapi naweza kupata wateja wa mifuko ya karatasi kwa jumla?

    Nawasalim kwa jina la jamhuri Wakuu nauliza wapi naweza kupata wateja wa hii mifuko ninategeneza na plani yangu ni kuongeza soko lake ili kujipatia kipato zaidi.
  12. Kwanini karatasi za mitihani ya wanafunzi ndiyo zimegeuzwa vifungashio vya maandazi?

    Just imagine hii ni karatasi ya mtihani wa "MOCK" uliofanyika mwaka huu mwezi May tu hapo, ila hata kabla ya wanafunzi hawajapewa "Marking Scheme" tayari answer sheet yake imeshafika Dar kutoka Mwanza. Na mtihani wa Mock ni mtihani wa 2 wa uzito baada ya mtihani wa taifa. Binafsi siku...
  13. Natafuta karatasi kubwa za kaki za kujaradia na bahasha kwa bei ya Jumla

    Habari wakuu ,title inajitosheleza
  14. Nimefungiwa pombe kwenye karatasi lenye taarifa za wachangia damu

    Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote. Nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili kisha nikaanza kuipitia ile bahasha nilishtuka kidogo maana ina taarifa za wachangia damu wawili...
  15. Makala: Mfahamu Simba Karatasi wa Umakondeni

    Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni. Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu kwa kuleta hofu kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mtwara. Historia juu ya asili ya simba huyu ina...
  16. Historia Zilizojificha Katika Karatasi za Barua

    HISTORIA ZILIZOJIFICHA KATIKA KARATASI ZA BARUA Picha ya kwanza hapo chini ni Mamboleo Rashid Makoko, picha ya pili ni Julius Nyerere na ya tatu ni Chief Michael Lukumbuzya wa Ukerewe. Historia za watu hawa watatu zote zinaunganishwa na historia ya Tanganyika kama ilivyokuwa wakati ikielekea...
  17. FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  18. Kwa watoto wa mjini tu: Tukumbushane SPM kiwanda cha karatasi Mgololo, Sawala na Site!

    Wakuu heshima kwenu! Kwa wale watoto wa mjini tuu tulio jua taa za barabarani miaka ya 90... tulio kuwa tunapiga misele kwa kupanda gari la kazini bure. Watoto wa mesi... watoto wa mason club watoto wa senior club. Mpo wapi wakazi wa BQ, Construction house, H5 watoto wa kimasikini H3 na H1...
  19. Document gani ulikutana nayo kwenye vifungashio vya karatasi?

    Ndani ya mwezi huu wa sita, nimekutana na document mbili. 1. Transcript ya mwanafunzi wa UDSM, ni copy na inaonekana labda alituma mahali kuomba kazi, amemaliza mwaka 2022, chaajabu imegengenezewa vifungashio vya karatasi. 2. Karatasi ya mtihani ya mwanafunzi kutoka chuo fulani,( nakihifadhi)...
  20. Dawa za mapenzi ya kibatari mlipuko na utambi wa sanda na Karatasi ya kupepea kwenye mti. Tabora ni baba lao

    Niende kwenye mada wanyamwezi ni nyoko si mwanaume si mwanamke mapenzi yao wote ya kichawi, mvuto na wito wa kutumia dawq kumuita unaemtaka. Hivi mkoa wa tabora sikonge wanyamwezi huu upuuzi wameutoa wapi. Kizinde changu kimewashinda kila walichojaribu wapi mwamba nimeiva. Leteni visa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…