Mh. Rais, kiwanda cha karatasi kilichopo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa kiitwacho Mufindi paper mills LTD (MPM) zamani Southern Paper Mills (SPM) kilichokuwa kinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania 100%, chini ya shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), kwasasa kinamilikiwa na kampuni ya...
Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu.
Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini chochote? Yaani taratibu zoote za kanisa na mashahidi wawepo kushuhudia ndoa, ila sitaki kusaini chochote...
Salaam
Nimekaa nimefungua Diary yangu nimepitia pitia mara nikakutana na budget niliyoiandaa kwa mshahara wangu wa kwanza baada ya kuanza kazi. Nikagundua kumbe nilikuwa na utaratibu wa kuandika matumizi ya Kila mwezi na kiasi ninachokiacha kama akiba lakini nilikuja kuachana na utaratibu...
Habari!
Niende moja Kwa moja maada, habari kutoka kwa wahusika, hali ya kifedha vyuo vikuu Tanzania so njema, inasemekana, ndaki, skuli, idara toka mwaka jana mwezi Juni hawapati pesa za uwendeshaji, mathalani hata karatasi tu za kuchapishia mitihani ya mazoezi ni shida tu, je hazina na Waziri...
Habari zenu wadau wa jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali.
Naomba kujua top brands za karatasi zinazotumika na kukubalika sana hapa za Tanzania. Nikisema brands namaanisha hizi Rotatrim, HP, Paperline, Golden Start, Double A etc.
Mabeberu yameshamgundua china kuwa ni chui wa karatasi! Chui wa karatasi ana sura ile ile ya chui na ametoa meno lakini hawezi kuuma!! Ni sawa na nyoka wa kibisa ambaye hata watoto huwa wanaweza kucheza naye maana alishatolewa meno!
China ilibweka sana kutishia Spika wa bunge la marekani Pelosi...
Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita.
Ila kwa kilichotokea ukraine taifa hili limevuliwa nguo kabisa.
Wengi hawafuatilii historia ya hii vita tangu...
Katika kitu ambacho serikali ya awamu ya sita imejaliwa ni KUTOKUWA NA HURUMA NA MZIGO MKUBWA WA GHARAMA ZA MAISHA wanachojali wao ni kupiga matozo kila kona wapate kununua MA VX 2022 MODELS ikifika 2023 wanunue tena 2023 models. Damn!
Vitu vinapanda mnoooo hata visivyo na uhusiano na vita vya...
Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama siyo hivyo basi ipo shughuli ambayo Kila mmoja wetu anaamini akishiriki kikamilifu katika shughuli...
Polisi eneo la Kilgoris katika Kaunti ya Narok wanazuilia watu watatu wakiwemo maafisa wawili wa polisi kwa tuhuma za kusafirishwa karatasi za kupiga kura ambazo tayari zimetiwa alama na vifaa vingine vya uchaguzi
Kupitia kwa taarifa, Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro amesema...
Yas kama bei ya karatasi [hizi rimu/ream sijui] imefikia sijui 20,000s, na gharamagharama sijui thelathini naa huoni kama ni yaleyale. Ya kutoa dhahabu na kupewa kioo!!
Tunapewa kakitu kadogo tusichozalisha kwa bei kubwa na ili kupata fedha za kununulia huto tuvitu tunauza chakula chetu cha...
Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla wake 2)lotion na mafuta ya mgando 3) trick za uandaaji wa dawa ya viatu pamoja na dawa ya meno na...
Bei ya karatasi kwa Rimu reja reja ilikuwa 7000~12000/=
Hivi sasa Bei imepanda ghafla bei ya Reja reja ni 18000~25000/=
Je wizara ya elimu haioni kwamba hili litachangia kuongeza ugumu wa elimu kwa watoto wetu endapo gharama za uchapaji na ufundishaji zitaongezeka kutokana na kupanda kwa bei ya...
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
Ni bomu kubwa linalotengenezwa linasubiri kulipuka na siku likilipuka litaacha madhara makubwa. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kinachoendelea katika shule ya msingi Mwanzugi iliyopo wilayani hapa mkoani Tabora.
Shule hii iliyo umbali wa kilomita 10 kutoka makao makuu ya halmashauri ya...
Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea.
Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
Habari wakuu,
Nilikuwa natafuta mtu/kampuni inayosupply karatasi zile za kaki zinafanana na mfuko wa karatasi au bahasha.
Wapi zinapatikana au mwenye mawasiliano msaada tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.