karatasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwisho wa kutumia Tiketi za Karatasi kwenye kivuko cha Magogoni - Kigamboni ni Tarehe 28 Februari 2022

    Salaam Wakuu, Abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni mnakumbushwa kwamba mwisho wa matumizi ya tiketi za karatasi kwenye kivuko hicho ni Tarehe 28 Februari 2022 hivyo abiria wote mnaombwa kununua kadi za N-CARD. Kadi hizo zinapatikana Kivukoni pande Zote mbili. Wakala wa Ufundi na...
  2. T

    Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

    Haya ndio maono ya 2025 Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025. Haya ndio yatatokea. Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo...
  3. Bundi atua kibabe kwenye dirisha la Madrasa huko Zanzibar. Aondoka na karatasi ya majina.

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya.... Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya. "...anabonge la hirizi...
  4. Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

    Leo tarehe 24, Nov. 2021kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea katika mahakama divisheni ya Uhujumu Uchumu na Rushwa ambapo leo Jamhuri italeta Shahidi Mwingine. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 23, 2021. Kesi yaahirishwa hadi...
  5. Kuchamba kwa karatasi ni sawa, lakini kuchamba kwa maji ni sawa zaidi

    Kuchamba kwa karatasi ni rahisi sana kwakuwa ni rahisi kutembea kwa urahisi na karatasi/toilet paper au gazeti hata ukiwa safarini, picnic, uwindaji, nk. Makaratasi yanapatika TU lakini maji lazima yawepo mengi ya kuchambia na matumizi mengine. Hata hivyo faida ya kuchamba na maji ni kubwa...
  6. Degree ni karatasi tu, haisaidii lolote kiuchumi?

    Ndg. Asubuhi nimesikiliza mjadala wa saa 2 katika ile platform ya Clubhouse ya mindset transformation. Katika mjadala huo watu watatu wenye degree zaidi ya nne na mmoja mwenye PhD kwa kudai kuwa kupata degree is just a paper na kwamba katika maisha yao hazijawahi kuwasaidia lolote. Wamekwenda...
  7. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika hauko kwenye “dira” au karatasi tu

    “Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
  8. K

    Tunapima Legacy ya Awamu ya Nne na Tano kwa Uzani: Mfano wa karatasi v/s Chuma

    Mtapima wenyewe. Kanuni ya maumbile ni moja tu. Kilo 1 ya karatasi ni sawa na Kilo 1 ya chuma. Awamu ya Nne v/s Awamu ya Tano i. Kuweka mazingira ya uwekezaji kuwa ya kuvutia v/s...
  9. Maandishi meusi yaliyoandikwa kwa wino mweusi

    Nawasalaam ndugu zangu wapendwa natumai wote ni wazima wa afya. Moja kwa moja nianze na maandishi yangu meusi yaliyo katika karatasi nyeupe na haishangazi sana mana ni utaratibu na uandishi wenye kusomeka kama sio kueleweka kwa urahisi zaidi na ndio maana unapata nafasi maridhawa ya kusoma...
  10. Nahitaji karatasi za kutengenezea mifuko

    Wakuu wenye karatasi zile za A4. Nahitaji ambazo zimetumika. Inaweza kuwa past paper, au group assignment paper. Nahitaji nyingi hata kama una kilo 100 ni Pm. Dear HR kama unabarua nyingi ofisini kwako ni pm. Msizichome moto tufanye biashara. Hata ofisi yoyote ambayo mmepokea application letter...
  11. Kwanini viongozi wa dini husoma sala kwenye karatasi wanapokaribishwa kufungua shughuli?

    Nimekuwa naona mara nyingi kunapokuwa na ziara ya rais wale viongozi wa dini wanaokaribishwa kufungua shughuli kwa sala/swala wanakuwa na vikaratasi wanakuwa wanavisoma, najua ntaambiwa eti ili wasikosee wakatamka visivyo, mara protokali n.k, Hivi kwenye sala/swala kiongozi anaweza kuteleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…