Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Haya Wakubwa zao mlioko hapa JamiiForums itisheni Gwaride la Dharula usiku huu na mkimkuta Mmoja kavimba Uso, Jino lake moja la chini limelegea tayari kwa Kudondoka chini Ardhini na Mguu wake wa Kulia anauburuza jueni Mzanaki na Myao Mimi GENTAMYCINE nimetuma Salamu kuwa wacheze na Washamba kama...
Nimepita Kariakoo leo kwakweli hali ya Miundombinu zikiwemo Barabara za Mitaa na Chemba za Majitaka ni mbaya inatia kinyaa na Mamlaka zinaendelea kukusanya Kodi pale kama hazioni.
Mbaya zaidi Chemba zimepasuka katika maeneo ambayo watu wanalazimika kutembea kwenye uchafu unaotoka katika mitaro...
Ndugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta.
Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo.
Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi...
Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako.
Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo.
Vitabu hivi...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaodaiwa kuhusika na uchomaji wa moto kwenye baadhi ya majengo yaliyopo Kariakoo.
Agizo hilo...
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi...
Wakulu wa nchito,
Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia.
Natanguliza shukrani
Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo.
Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa.
Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa.
Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uchunguzi wa kamati aliyoiunda umebaini moto uliotokea eneo la Mnadani, Kariakoo jijini Dar es Salaam sio ajali bali ni hujuma ndani ya wafanyabiashara wenyewe.
Baadhi ya kamera za CCTV zimebainisha haya ambapo wafanyabiashara wa awali...
Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.
Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
Habari wana Jamiiforums?
Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana
Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine...
Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo.
Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya...
Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa...
Wakuu naomba msaada wenu.
Natafuta mzani mdogo wa battery wa kupima uzito kwa ajili ya mgogwa kwa jina la kibiashara inaitwa bathroom scale.
Tafadhali nisaidie kunijulisha ni maduka yapo ya nauza hizo bidhaa hapa Kariakoo au hapa Dar es Salaam.
Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao.
Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.