Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa...