kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Habari WanaJF, Natumaini tumeanza siku vizuri. Hata kama kuna mambo hayaendi, shukuru hata kwa uhai. Mungu yupo atakupambania... Bila kupoteza muda, ningependa kuwashirikisha wazo, na naomba feedback. Kama mfanyabiashara, siku zote unatafuta pa kununua vitu kwa bei ndogo ili uweze kuuza kwa...
  2. Bajaji za Ferry-Kariakoo zifutwe

    Kama ni kukosa ubunifu basi ni kuendelea kuwa na bajaji za Ferry- K/Koo. Kwanza tuna usafiri wa uhakika wa Mabasi yaendayo kasi DART yanayofika sehemu zote za K/Koo. Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa bajaji zinazoongeza msongamano, vurugu, kelele katika barabara ya Samora na Uhuru? Hizo...
  3. Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

    Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha tulikuwa tunaamini Namanga ndo mji mkubwa zaidi wa mpakani kwa Tanzania kumbe kuna Tunduma...
  4. Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

    Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei! Sasa iweje pawe na...
  5. Angalizo: Watu wa Kariakoo tusiende na matokeo yetu Tanga hali si nzuri kwetu

    Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi. Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao. Msije kusema sikuwatahadharisha.
  6. Cctv video: Huyu mwizi inasemekana kawaliza wafanya biashara wengi kariakoo ila za mwizi 40 kanasa,

    Wezi wanatia hasara sana, Boss mwenye duka anaingia hasara, alieajiriwa kuuza duka anaanza kutiliwa mashaka na bosi kwamba ndio mwizi, anakatwa mshahara ama kufukuzwa kabisa Wengine waliolizwa wana sema siku nyingine anavaaga kanzu na balaghashia JINSI ANAVYOIBA ALIVYODAKWA, video imekatwa...
  7. Leo nimefukuzwa duka moja Kariakoo na mwenye duka mwenyewe kasema mimi namchunguza

    Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza. Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana leo kuna mteja wangu mmoja hivi kutoka mkoa x kanipigia kuwa anataka viungo vifuatavyo kwa bei ya...
  8. N

    Kariakoo pako hovyo hapaeleweki kama sio soko kuu la nchi na majirani

    Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao. Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
  9. Bustani ya Mnazi Mmoja ina kazi gani?

    HEBU TUZUNGUMZE HILI, ILE BUSTANI YA MNAZI MMOJA (Kwenye Mnara wa Uhuru) Pale Dar es salaam hususan City Centre i.e Kariakoo, Mnazi Moja. Kwa haraka haraka hakuna sehemu mfano wa Garden ya watu walau kuweza kupumzika from mihangaiko na mizunguko ya mjini. Hakuna pia open space ambayo mtu...
  10. F

    Kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia. Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
  11. Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  12. SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  13. F

    Nataka kuwa winga Kariakoo

    Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya. Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika Dar 🙏.
  14. B

    Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

    Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa. Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo. Huu...
  15. M/kiti wa wafanyabiashara Kariakoo anawatisha wale wote waliozungumza kwenye kikao na Lissu

    Nukuu ya mwathiliwa; Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwanini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais! Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu...
  16. Wafanyabiashara Kariakoo na TRA Sasa mambo safi, waandaa bonanza la michezo kati ya timu ya TRA na wafanyabiashara

    Kumekucha, wale wengine mliokuwa na nongwa, mshike jembe mkalime. TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo sasa ni damu damu, wameandaa bonanza la michezo kati ya timu ya wafanyabiashara na TRA. Hakika Rais Samia ameziba ufa uliokuwapo na imani kati yao imekuwa kubwa. Viva Tanzania!
  17. E

    Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

    Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara. Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha. Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua. Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini? Ni kama vile...
  18. Serikali yaongeza Siku 90 za notisi kwa wapangaji Kariakoo

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula akizungumza jambo na wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kariakoo Serikali imeongeza miezi mitatu ya notisi kwa baadhi ya wafanyabiashara na wakazi waliopanga katika nyumba za shirika la nyumba la Taifa (NHC) eneo la...
  19. Malalamiko ya magari ya Mwendokasi kwenda kwa kasi Kariakoo bila kujali kuna idadi kubwa ya watu

    Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na...
  20. Wapangaji nyumba za NHC Kariakoo walalamika notisi za kuhama bila mazungumzo, wadai NHC wamempa dili mwekezaji mpya kimyakimya

    Baadhi ya Wafanyabiashara na wakazi waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) mitaa ya Kariakoo wamelalamika kupewa ‘notisi’ ya miezi itatu wakitakiwa kuhama kwenye majengo hayo pasipokuwa na mazungumzo yoyote. Wafanyabiashara hao waliopo kwene...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…