kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Majaliwa amewaacha wafanyabiashara Kariakoo na matatizo yao bora angeenda Rais Samia Suluhu

    Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana. Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wa Kariakoo. Amepata fursa ya kuwasikiliza wafanyabiashara siku nzima ya...
  2. Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  3. Wafanyabiashara Kariakoo: Askari 'Mpemba' ametusumbua sana

    Akiwasilisha kero kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mmoja wa Wafanyabiashara amesema, "Kuna Askari anaitwa Mpemba hapo Kamata amenipelekesha sana, pia kuna mwingine mweusi yuko hapohapo wanatupelekesha sana. Inashangaza sana Askari wanakusumbua kama vile TRA hadi unajiuliza kazi ya TRA inafanywa...
  4. Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi. Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka? 1. Waziri wa Fedha? 2. Waziri wa Biashara? 3. CG wa TRA? 4. Manager wa TRA Ilala? Nani ataondoka?
  5. F

    Waalimu, madaktari, wasomi na watu wa sekta nyingine tujifunze kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kuzungumzia kero zetu.

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi! Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
  6. J

    Wafanyabiashara wa Kariakoo mmetudharau sana CCM, mnalisema hadi banda alilomo Waziri Mkuu?

    Mkutano wa aina hii kiukweli mara ya mwisho niliushuhudia Wakati wa Hayati Sokoine. Waziri mkuu anatoa nafasi kwa Watu zaidi ya 50 kuuliza maswali na kutoa maoni. Nashauri Wabunge wote Kuanzia sasa waige mfumo huu wa kuwasikiliza Wananchi Wengi zaidi. Mungu mbariki sana Waziri mkuu.
  7. Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  8. TRA matopeni, watuhumiwa kukithiri kwa rushwa soko la Kariakoo

    Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara. Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili...
  9. Wachumi Washauri Kariakoo uwe Mkoa maalum wa kibiashara

    Wataalamu wa uchumi wameshauri eneo la Kariakoo, Dares Salaam liwe mkoa maalumu wa kibiashara na pia mamlaka za serikali zinazohusika na biashara ziwe na mifumo inayosomana ili kuepuka migomo ya wafanyabiashara kwenye eneo hilo. Walisema serikali inapaswa kuipa Kariakoo hadhi ya kuwa Mkoa...
  10. Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  11. Mgomo Kariakoo: Wafanyabiashara wakutana Mnazi Mmoja

    Baada ya kutangaza kugoma kufungua maduka yao wiki iliyopita, hatimaye Kariakoo ikasimama. Mkuu wa Mkoa akaenda, akashindwa wafanyabiashara wakamtaka Rais, Ripoti ikatoka kutoka Dodoma kuwa Mkutano utafanyika Dodoma siku ya Alhamis, chini ya Waziri Mkuu, wafanyabiashara wakagoma. Likatoka...
  12. Kinachoendelea Mkutano wa Waziri Mkuu Majaliwa na Wafanyabiashara Kariakoo leo Mei 17, 2023

    Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto zao leo. Baadhi ya wafanyabiashara hao...
  13. Wafanyakazi wa TRA nanyi fungueni maduka Kariakoo mlipe kodi hizi

    WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote, 1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini. 2. Kodi ya mapato...
  14. TAKUKURU mgogoro Kariakoo Mmechangia kwa kutowajibika

    Hawawezi kukwepa kuwa sakata la Kariakoo lisinge fika hapo lilipo kama wange wajibika. Kulipo undwa Kikosi kazi (Task force) cha TRA kufuatilia kodi Kariakoo ndipo mianya ya rushwa ikapamba moto na vijana waliopewa jukumu hilo ndio wakaona ni nafasi ya kukandamiza wafanyabiashara kujitajirisha...
  15. B

    Tundu Lissu atoa comment Sakata la Kariakoo na Suluhisho lake

    Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara. Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa...
  16. Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  17. K

    MHE. RAIS KWA HILI LA KARIAKOO ANZA NA WAZIRI WA FEDHA

    Kumekuwa na malalamiko lukuki kuhusu kodi na ushuru mbalimbali kwa Wafanyabiashara wa hapa nchini. Mshauri wako mkuu ni Waziri wa Fedha ambaye kwa ushauri wake anawaumiza wafanyabiashara na hii imefanya wafanyabiashara kugoma hasa pale Kariakoo. Ninavyoona mgomo huu utaenea nchi nzima kama...
  18. Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

    Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob. Mmeshaharibu upepo!
  19. Nina mashaka na ukubwa wa kikodi tunayoipa Kariakoo

    Kelele na sifa inazopewa Kariakoo sidhani kama ni kweli ndiyo sehemu inayotoa kodi kubwa sana kama ukizingatia vigezo vyote. Ninaiona Kariakoo kama walivyosema kama shamba la bibi kwa watumishi wa TRA na wafanyabiashara wenyewe huku taifa kama taifa likipata kidogo sana.
  20. J

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba Wafanyabiashara wa Kariakoo wagome hadi Rais Samia aje kuwasikiliza si ya kizalendo

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo. Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…