kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, hamieni maeneo haya ambapo hakuna usumbufu na utajiri uko nje nje

    Hii nawapa msisitizo japo najua mnafahamu. Kuliko kuendelea kunyanyasika nawasihi sana hamieni maeneo kama Lubumbashi, Juba, Kampala, Lilongwe, Blantaire, Kisangani na Goma. Huko waliostuka mapema walishawapita pesa kitambo wamejificha huko na biashara zote zinazofanyika hapo kariakoo ndio...
  2. chiembe

    Ni wakati sasa kutengeneza maeneo mapya ya kibiashara ili kuiondolea nguvu Kariakoo. Kariakoo ibaki kama mji wa kale

    Serikali inabidi Sasa ifikirie kuunda maeneo mapya ya kibiashara, nje ya kariakoo. Ni ajabu mpaka leo, kariakoo ndio eneo pekee la kibiashara Dar es Salaam, na hicho ndio chanzo cha msongamano mjini. Uwepo mkakati wa makusudi kuwekeza maeneo kama ubungo, kimara, bunju, tegeta kwa kujenga...
  3. JanguKamaJangu

    Mwendelezo wa Mgomo, Kiongozi wa Wafanyabiashara Kariakoo adai kuna kikundi kina maslahi binafsi

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  4. L

    Mgomo unaoendelea Kariakoo ni economic sabotage

    Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi. Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv...
  5. G

    Kariakoo saga is a bad picture

    Recently our country specifically Dar es salaam (Kariakoo), there is an ongoing strike waged by businessmen boycotting a long chain of taxes posing to them. This is a bad picture to our loyal government as reveals how it failed to make prior solutions to her people. If the strike continue...
  6. benzemah

    Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  7. Lady Whistledown

    UPDATE: Mgomo waendelea Kariakoo kwa Siku ya 3, Wafanyabiashara wataka Mkutano wa Wazi na Majaliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya Mkutano wa Wazi na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, hivi punde katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Wafanyabiashara hao ambao awali walipaswa kutoa wawakilishi wao kwenye kikao na Waziri Mkuu walikataa pendekezo hilo huku wakishinikiza uwepo...
  8. Jbst

    Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

    Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma. Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike. Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu...
  9. Kichwamoto

    Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ni fedheha kwa Serikali

    Hii aibu ya huu mgomo ni kubwa sana na inafikirisha sana, je, hayo madeni ya Kodi ni bambikizi, ni penalty, na fitina ni nini hasa? DG wa TRA yupo, Waziri wa Fedha yupo, Waziri wa Biashara yupo, kwanini haya madeni? Yapi halali na yapi haramu? Je, hii italeta mazoea ya kukwepa Kodi au mazoea ya...
  10. Magufuli 05

    Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

    Sitaandika sana, Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera! Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea. Dunia mapito jama.
  11. J

    Waziri Mkuu apewe maua yake changamoto ya wafanyabiashara Kariakoo

    Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara. Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha...
  12. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Majaliwa aibukia Kariakoo, azungumza na wa fanyabiashara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Soko la Kariakoo ambako wafanyabiashara wametangqza mgomo tangu asubuhi. Majaliwa amelazimika kuacha Bunge na kuja kwa dharura ili kuzungumza na wafanyabishara hao kwa lengo la kupata suluhu. Awali taarifa kutoka ofisi yake ilisema kuwa kiongozi hiyo...
  13. Suley2019

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afika Kariakoo. Aagiza task force za TRA kusitisha shughuli zake haraka

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo. Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
  14. saadala muaza

    SoC03 Ijue Historia ya Kariakoo

    IJUE HISTORIA YA KARIAKOO(Carrier corps) Mwandishi:Saadala Muaza Utangulizi kariakoo ni jina la kata inayopatikana katika wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam Tanzania iliyo na wakazi zaidi ya 13000 waishio humo. Eneo hili ni maarufu sana nchini Tanzania kutoka na...
  15. JanguKamaJangu

    Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  16. Erythrocyte

    Viongozi wa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliofanikisha Mgomo Walindwe usiku na mchana

    Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa) Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka)...
  17. Suley2019

    Inasikitisha Spika Tulia kujifanya hajui kinachoendelea Kariakoo

    Salaam Ndugu zanu, Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea. Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
  18. Magufuli 05

    Kufungwa kwa biashara Kariakoo, ni aibu kwa Serikali

    Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji mikubwa, ya kati na midogo. Kikubwa zaidi wanajitambua, naamini hawawezi tu wakakurupuka kugoma bila...
  19. Roving Journalist

    Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  20. R

    Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ukitatuliwa kwa ushawishi wa vyombo vya dola tutakuwa tunaahirisha tatizo

    Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi. Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
Back
Top Bottom