kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Execute

    Niliishi miaka kadhaa Dar kwa kukopesha watu pale Kariakoo kwa rejesho la asilimia kumi kwa siku

    Wanasema mjini akili. Miaka kadhaa nilikuwa napambana kukuza mtaji kwa kukopesha watu kuanzia elfu ishirini mpaka elfu hamsini kwa marejesho ya kila siku. Pale Kariakoo kuna watu hawana mtaji ila wanafahamu chimbo la bidhaa na wapi atauza. Walikuwa wanakuja na kuchukua hela halafu anarudisha na...
  2. Analogia Malenga

    Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

    Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
  3. BARD AI

    TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  4. Eliad Theobard

    Sajili Muhimu kwa vilabu vya Kariakoo

    Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo humlazimu Yanick Bangala kucheza nafasi zote mbili kadiri ya mahitaji ya meji hivyo yanga inahitaji...
  5. The Burning Spear

    Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  6. FRANCIS DA DON

    Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  7. Mpwayungu Village

    Vijana tokeni Kariakoo nendeni kijijini mkalime

    Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime. Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini...
  8. M

    TRA inapataje kodi za Kariakoo wakati jamaa hawatoagi risiti

    Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone. Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
  9. C

    Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

    Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli? hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
  10. Expensive life

    Mambo ya kichawi niliyoyaona kwenye Derby ya Kariakoo jana kabla ya mchezo

    Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia. Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana uwanjani; ~ Yanga SC ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia uwanjani majira ya saa 3:05, baada tu ya kuingia...
  11. Drat

    Kariakoo Derby 23 October

    Mchezo huu ambao huteka hisia za mashabiki wengi wa mpira wa miguu, utakuwa na msisimko mkubwa sana. Sababu ikiwa ni kila timu kuwa wakati wa kipekee, Yanga akiwa kabeba ubingwa bila kupoteza mechi lakini kashindwa kwenda hatua ya makundi, anasubiri kucheza na Africain ili afanikishe kwenda...
  12. Expensive life

    Kuelekea Kariakoo Derby: Simba SC ndiyo timu yenye kiwango bora hadi hivi sasa

    Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa; ~ Wamefunga magoli 11 ~ Wameruhusu magoli 2 Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4; ~ Wanefunga magoli 8 ~ Wameruhusu goli 1 Wametinga hatua ya makundi CAF Champions League, vinara Ligi Kuu Tanzania bara.
  13. B

    Tetesi: Kariakoo Derby yawaleta Africain Bongo

    Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
  14. Mohamed Said

    Nyerere Day 2022: Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Mtaa wa New Street na Kariakoo

    NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958 Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea Magomeni Mtaa wa Ifunda kwenye nyumba aliyojenga Mwalimu mwaka wa 1958 na akaishi pale kwa kipindi...
  15. FRANCIS DA DON

    Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea =========================== Inaumiza sana
  16. FRANCIS DA DON

    Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

    Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani. Basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya Mhindi ipo chini...
  17. julaibibi

    Picha: Raia wa kigeni azunguka na watoto Kariakoo kuomba msaada

    Kwa kweli leo imenishinda nilishazoea kusikia mchina anauza madafu sijui karanga mitaan inakuw tunawahis hawa labda ma spy. Ila leo huyu jamaa anazunguka Kariakoo miskitin anaomba.hiv kwanin anatesa hawa watoto, kwanin asirud ubalozin akaomba msaada labda alipata na majanga yakasabisha ashindwe...
  18. Mohamed Said

    Soko la Kariakoo Kuanzia Upya Wake 1900s

    SOKO LA KARIAKOO KUANZIA UPYA WAKE MWANZONI MWA MIAKA YA 1900 Sisi tuliozaliwa miaka ya 1950 tumelikuta Soko la Kariakoo kama linavyoonekana katika picha ya tatu na ya nne. Nikiangalia picha ya mwanzo ya Kariakoo akili yangu inanipeleka katika nyumba ambazo nyingine mimi zinanihusu na nyingine...
  19. L

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan? Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani? Kwasasa...
  20. JITU LA MIRABA MINNE

    Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
Back
Top Bottom