Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?
Ni Kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya Serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
Pale Kariakoo Stendi za Daladala ziendazo Tegeta, Makumbusho, Kawe na Mabibo ziko barabarani na zinaziba biashara za watu
Ni vema RC Makalla ukarekebisha hizo kwanza kabla ya kuwahamisha akina Shabiby na ABC kule Manzese
Ni ushauri tu
Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly.
N. B: TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA...
Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari.
Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
Habari za kushinda wana JF
Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo.
Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli.
Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
MELABON MUUZA EMBE NA VITU VINGINE KIKAPUNI KWA WATOTO DAR ES SALAAM YA 1960
Alikuwa akiitwa Melabon na hadi leo sasa mimi ni mtu mzima sijaweza kulifahamu jina lake khasa.
Melabon ilikuwa dawa ya kichwa mfano wa Aspro na ikitangazwa radioni.
Vipi alikuwa na jina hili sijaweza kujua...
1.Haji Manara, huyu alikuja simba amepauka kama katoka ukraine vitani, aliokotwa mitaa ya Lumumba akiwa dalali wa magari na kesi za utapeli Hans Pope akazizima
2. Senzo Mazingiza, huyu alikuja Bongo na suti moja mashavu yamesinyaa leo shavu dodo.
3.Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Azizi Ki...
Nahitaji wafanyakazi 2 wa kuuza duka la nguo Kariakoo, jinsia yoyote.
Umri kuanzia miaka 18<>30
Elimu form four na kuendelea.
Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu.
Awe na kitambulisho cha taifa . Kwa anayekidhi vigezo nitafute inbox.
Asanteni sana.
Mim ni mgeni wa jiji la Dar es salaam, nataka nijue nauli ya kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo ni kiasi gani? Mnaojua nifahamisheni maana saizi nipo njiani.
Wapendwa week end inaendaje?
Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani...
[emoji117][emoji117][emoji117]
SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA
Ngoja nikupe...
bei
bei ya jumla
bidhaa
chimbo
duka
hizi
jina
jumla
kariakoo
machimbo
maduka
mda
mimi
namba
namba za simu
ndani
nyingi
simu
soko
soko la kariakoo
thread
Serikali baada ya kuwashughulikia machinga naomba tuwashughulikie wauza simu feki wa Kariakoo, Makumbusho na maeneo mengine.
Saivi kuna sumsung, iphones na nyingine nyingi, zote hizo ni feki.
Serikali iangazie jicho pale Makumbusho, Kariakoo na maeneo mengine mwaga vijana wa TCRA na TBS...
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya.
Mizigo ni kava za simu
Mbunge wa zamani wa Rungwe, Sauli Henry Amon amepoteza jengo la ghorofa nane lililoko Kariakoo jijini hapa, baada ya Mahakama ya Rufani kueleza kuwa nyumba hiyo ilijengwa kwenye kiwanja kilichouzwa kwa mnada isivyo halali.
Uamuzi huo umeirejeshea furaha na kuipa utajiri wa ghafla familia ya...
Habari za muda huu.
Msimu wa 2019/2020 ,Simba walimsajili Onyango na Yanga wakamsajili Mwamnyeto.
Mashabiki wa Simba walidai kuwa Mwamnyeto alikuwa dhaifu na alifichiwa madhaifu na AME , viongozi wakapambana haraka Ame akasajiliwa ili kupigia mstari hoja zao.
Yanga wakadai Onyango ni mzee...
Serikali imetenga Tsh. bilioni 10 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa soko jipya la Kariakoo na kukarabati soko kuu lililoungua moto Julai 2021
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashugwa amesema hayo wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na...
1. Biashara ya jezi mfano jezi za Simba, Manchester, Arsenal, Livepoor, Yanga, Mtibwa.
N.k
2. Biashara ya simu na vifaa vyake mfano simu za android na iphone
3. Biashara ya vifaa vya electronic mfano sabufa, TV, fridge, rice cooker n.k
4. Biashara ya magauni ya wanawake. Mfano magauni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.