ASANTE SANA KARIAKOO!
NINGEKUWA kwenye jengo lililoporomoka. Sina matumaini ya kuokolewa. Nini ningefanya? Simu yangu ingekuwa na charge, network ipo sawa, ningeandika ujumbe gani kwa familia? Ningepost nini mtandaoni jamii isome?
Moyo mzito kuwafikiria waliowapoteza ndugu zao waliowapenda...