kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Muhanga aliyezushiwa kufa kwenye kifusi Ghorofa la Kariakoo ameeleza hali ilivyokuwa

    Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
  2. R

    Wapo wapi viongozi wakuu wa dini kwenye tukio lakuanguka kwa jengo la Kariakoo? Unaridhika na response yao?

    Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
  3. JanguKamaJangu

    Shuhuda aliyeshiriki kuokoa watu Kariakoo asema "Kule chini hali ni mbaya, nimeshuhudia Watu wamefukiwa na vifusi"

    Nassor Athuman akizungumza kile alichokishuhudia baada ya kutoka eneo ambalo jengo limeanguka Kariakoo, Dar es Salaam. Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza kuwasaidia kutokana na hali jinsi ilivyokuwa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila anasema...
  4. R

    Je, yapo majengo mangapi Kariakoo yaliyoongezwa kwenda chini (underground floor) na wamiliki?Wanaofanya haya wanapewa kibali na serikali?

    Baada ya kuanguka ghorofa huko Kariakoo chanzo kinadai mmiliki alitaka kuchimba chini ajenge underground floor kwa ajili ya kuongeza fremu za biashara. Naamini huyu siyo mmiliki wa kwanza kufanya hivi, amefuata nyayo za wamiliki wengi waliotangulia. Naamini pia kwamba majengo yaliyochimbwa...
  5. Multi-skilled

    Janga la Kariakoo linatakiwa liwe somo kwa Watanzania

    Baada ya jengo la Kariakoo kuanguka, ni wazi kuwa Tanzania tunapaswa kuanza kuthamini masuala ya mipango miji. Inasikitisha kwamba mwaka 2024 bado tunaona nyumba zikijengwa kiholela, maeneo ya makazi duni (slums) yakiongezeka, na majengo ya kizamani yakiendelea kujengwa bila kuzingatia viwango...
  6. Candela

    Kwenye ajali ya Kariakoo, mmiliki wa jengo awajibishwe ili iwe mfano

    Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground. Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini. Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya. Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja...
  7. and 300

    Janga Kariakoo - Bendera zinafaa kupepea nusu mlingoti

    1. Vifaa vya uokozi na magari ya kifahari, vipi ghali? Na muhimu? 2. Watu wamekufa, baadhi bado wamekwama. Kwann tusiomboleze Kwa kupepea Bendera nusu mlingoti.
  8. Nyanda Banka

    Siri ya Maisha na ghorofa la Kariakoo

    𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 Maisha yanaweza kubadilika kwa sekunde tu, kutoka kupambania rizki mpaka kupambania uhai yaani hakuna ajuaye nyakati hizi maana kila kitu ni ndani ya dakika tu kinachukua sura mpya. Kutoka nyumbani salama na Familia inakusubiri urejee na chochote kitu, mpaka sasa Familia...
  9. jingalao

    Newton's First law of Motion inakataa kutumia mitambo kufukua kifusi Ajali ya Kariakoo

    Newton First law of Motion..... An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!! kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa.... #kitu chochote kilichotulia...
  10. Yoda

    Vipi likitokea tetemeko la Ufa au Tsunami Dar? Ghorofa za mji zitahimili?

    Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
  11. D

    Nini kifanyike kuharakisha uokoaji Kariakoo

    Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Zije tipper trucks 10, mizigo yote iliyopo ndani ya jengo na nje ya jengo yote itolewe. Hili zoezi lingeweza fanyika toka jana, ila limezembewa, huwezi fanya uokozi na mzigo mzito bado upo juu ya jengo, jengo litaendelea titia. 2. Matofali, mabati, mbao, na...
  12. S

    Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

    Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi. Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu...
  13. Yoda

    Kuanguka ghorofa Kariakoo; Kuridhika au kutoguswa na upuuzi unaohatarisha maisha yako ni kushiriki kujimaliza mwenyewe.

    Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground. Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
  14. kimsboy

    Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

    Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba...
  15. Waufukweni

    Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

    Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi...
  16. TRA Tanzania

    Salamu za pole kwa ajali ya Jengo la Kariakoo

  17. sinza pazuri

    Clouds Media ombeni msamaha watanzania kwa kudanganya zoezi la uokoaji kariakoo limesimama

    Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari. Media kama hii kubwa inapotoa upotoshaji kama huu inawaacha watu kwenye mshtuko na kukatisha watu tamaa...
  18. Megalodon

    Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
  19. Damaso

    Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  20. Makonde plateu

    Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇 Pia soma > Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
Back
Top Bottom