Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Joto la Dabi ya Kariakoo linazidi kupanda, huku mchezaji Jonas Mkude, anayejulikana kwa kucheza mechi nyingi za Dabi hiyo, amesisitiza ukubwa wa mchezo huo katika maisha yake ya soka. Mkude amesema kuwa hata akiamka asubuhi, anakuwa tayari kucheza Dabi ya Kariakoo.
"Ni kama sehemu ya maisha...
Naomba mods msifute hii thread yangu
Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa
Nauza jumla na rejareja
Karibuni sana.
Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei...
Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.
Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi...
Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa.
Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia.
Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla.
Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita.
Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
Kariakoo (Dar) kwa siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la kubwa la biashara ya simu zilizopachikwa jina kama 'Simu za Mtumba' ambazo uuzwa kwa bei nafuu, simu hizo ni za 'brand' mbalimbali nisingependa kuyataja hapa.
Udadisi nilioufanya kwa miezi kadhaa ambayo nimekuwepo Kariakoo nimegundua...
Kwema Wakuu!
Nimemsikia ndugu yangu ngara23 akilalamika mwezi mzima wa Tisa, na sasa tumeingia mwezi wa Kumi bado anaendelea kulia.
Kariakoo mawinga kabla mteja hajafika tayari wanakuwa na bei wameshakubaliana karibu mtaa mzima.
Mfano, umeenda kununua fridge aina ya Hisense lita 160...
Usijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize
Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu.
Matajiri...
Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara.
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair...
SOKO LA KARIAKOO IMEBAKI ASILIMA CHACHE KUKAMILIKA ZAIDI YA BILLIONI 30 ZATUMIKA
Ukarabati wa soko la Kariakoo umegharimu zaidi ya Bilioni 30 na zimebaki asilima chache kukamilika Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ataenda kukagua baada ya kukamilika pia ametoa fedha kwaajili ya ujenzi wa masoko...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji.
Kutokana na changamoto hiyo...
Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema
Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k
Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
• Ipo Kibamba Mwisho
• Ukubwa wa eneo ni ekari 4
• Ina hati miliki
• Imesajiliwa
• Inauzwa TZS bilioni 1.2
.
✓ darasa 1-7
✓ inatoa huduma
✓ ni ya kutwa
✓ ina maabara na jengo la ofisi
✓ ina kiwanja cha michezo
✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine
.
• In Real...
Habari zenu wana JF.
Kuna jambo gani ambalo linaendelea kariakoo maana kila ukienda kuna ghorofa lishavunjwa kwa ajili ya kujenga jingine. Ni kwamba bei ya vifaa vya ujenzi imeshuka au vipi?
Wakuu napangisha frame yangu kariakoo iko mtaa wa Masasi jirani na hii barabara kuu ya Msimbazi na jirani na kituo cha mwendokasi cha Msimbazi.Inafaa kwa Simu, Vifaa vya Simu au Ufundi wa Simu. Kama utahitaji tuonane inbox.
Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka kushindwa kuwajibika kuzingatia usafi wa mazingira katika eneo hilo.
Ni zaidi ya Wiki mbili sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.