Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 760
- 1,875
Mpaka naamua kujifariji au ni brand mpya haijafahamimika bado sokoni maana bei nilio uziwa nikilinganisha na maduka mengine inaweza kuwa ni nusu bei kingine kinachonipa wasiwasi nafasi kawaida ssd 512 ukiweka inasomeka 476gb lakini hii inasomeka 443gb nimetest kuhamisha large files za GB 271 kutoka kwenye HDD kwenda kwenye hio new ssd speed ilikua inasoma 121 inashuka mpaka 87 kwa second alafu kingine notification za Microsoft defender found threats zimekua nyingi tangu nimeichomeka hio SSD lengo nataka niichape windows au nirudi dukani nikachukue hela yangu