Nimenunua SSD 512GB ya SATA Kariakoo lakini kila nikiigoogle sioni manufacturer wake nahisi nimepigwa

Nimenunua SSD 512GB ya SATA Kariakoo lakini kila nikiigoogle sioni manufacturer wake nahisi nimepigwa

Kwanini usingegoogle kabla ya kulipia, hujioni ulivyo mjinga?
Kweli hiki chama kimetufikisha pabaya!
 
Mpaka naamua kujifariji au ni brand mpya haijafahamimika bado sokoni maana bei nilio uziwa nikilinganisha na maduka mengine inaweza kuwa ni nusu bei kingine kinachonipa wasiwasi nafasi kawaida ssd 512 ukiweka inasomeka 476gb lakini hii inasomeka 443gb nimetest kuhamisha large files za GB 271 kutoka kwenye HDD kwenda kwenye hio new ssd speed ilikua inasoma 121 inashuka mpaka 87 kwa second alafu kingine notification za Microsoft defender found threats zimekua nyingi tangu nimeichomeka hio SSD lengo nataka niichape windows au nirudi dukani nikachukue hela yanguView attachment 3285121View attachment 3285122
Mkuu Mara nyingi hii ni product ya china..., siyo original Ila kama inafanya kazi siyo mbaya Ila baadaye ita overheat, then itazima gafla
Kwa ushauri Penza kununua SSD kutoka Netherlands..,
For more inf call 0682202114
Tunauza COMPUTER
Za zina zote na kutengeneza used...
Ilala karume..
 
Back
Top Bottom