Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8.

Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa hawatakubali timu yao icheze mechi hiyo hadi madai yao yatakaposhughulikiwa. Kikao hicho kinatarajiwa kutoa mwelekeo wa mustakabali wa mchezo huo mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hawa jamaa wanaishi maisha simple sana Kila matukio wapo.....hata Yale madogo madogo wapo.haijulikani kazi wanapiga muda gani.. na pesa wanazo.........au ndo hawa wakina Chief godlove[emoji23]
1743069207767.jpg
 
hapo mbele wote wanaishi kwa yanga
huo alovaa fom six ya njano anaitwa kevoo
huyo jamaa hajawahi kukosa mechi ya yanga hata moja inayochezwa TANZANIA na anaendaga mpk mechi za makolo
huyo demu alovaa miwani anaitwa missana
ni heri ashinde na njaa lkn sio kukosa kwenda kuona mechi yanga

kazi yao si ndio hiyo YANGA au hujui km yanga kazi
 
Huyo hapo nyuma ni Manara msemaji maalum wa Utopolo kwa mambo yanayohusu utendaji wa Karia
 
Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8.

Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa hawatakubali timu yao icheze mechi hiyo hadi madai yao yatakaposhughulikiwa. Kikao hicho kinatarajiwa kutoa mwelekeo wa mustakabali wa mchezo huo mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

1743079356172.png
 
Back
Top Bottom