Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Yesss! Kama ada yangu wazee sina nongwa ila cha ajabu Lamomy ana nongwa na mm! Sio kes...
Kuna sahan nzito kali tu za mifupa kwa wafanyabiashara. Duka la mchina liko kariakok aggrey na livingstone.
Hesabu ya boksi ni pisi 72, na bei ya mjumuisho pia inaainishwa. Kwa bei ya mchina kila pis ni...
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa
Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k
Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe!
Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
Habari wana JF natafuta dalali kwaajili ya frem au office space maeneo ya city center au kariakoo
Kwa mwenye namba za dalali maeneo hayo naomba unitumie number au km ww dalali njoo inbox
Asanteni
• Direction: Muhoro
• Plot Area: 850 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 800 million
• Viewing charge: TZS 30,000
.
✓ hapa ni mahali pa soko la kibiashara la kimataifa
✓ plot inafaa kwa makazi na biashara
.
Call/Watsap: +255 767 15 77 88
.
In Real Estate We Connect
Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo.
Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa kuona msururu wa watu wakiwa bado wananunua tiketi
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.
Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda...
Wasalam wana Jamvi.
Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
17 JULY 2024
MSIMU WA PUNGUZO
#Twenzetu
Kariakoo
Kariakoo Festival 2024 inakuunganisha na Biahara zinazo toa Punguzo la bei katika msimu huu.
KARIAKOO KUVUTIA WATEJA WA NCHI TISA DAR ES SALAAM KUPITIA KARIAKOO FESTIVAL...
Umri wake ni miaka 26 na jina lake linaanzia na herufi H.
Wakati naenda kukutana nae kwa mara ya kwanza I thought my friend was joking with me. Kwa sifa alizo kuwa anampa kwa sababu alikuwa anampa sifa ambazo tumezoea kuzisikia kutoka kwa wasichana wa kimwera, wayao, WAMAKONDE, wadigo etc...
Gazeti za jana zimesikitisha sana kwa yanayoendelea pale Kariakoo.
RC wangu, wakati doll ikikagua yale majina, nikujuze tu kuwa mamlaka yako inaruhusiwa kuwaondoa viongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo mapema.
Kumekuwa na kama dili za ajabu, soko likiungua viongozi wanafikiri ndio sehemu ya...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za CCM Lumumba.
Amewaahidi kesho Julai 12, 2024 watakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kujadili...
-Ataka kutekelezwa haraka kwa maelekezo yake ili kufikia adhima ya serikali kufanya biashara saa 24
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 10,2024 amefanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara pamoja na viongongozi wa Serikali, Taasisi, Mashirika na wataalam kutika ofisi...
Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa hii inapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI www.tamisemi.go.tz...
Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha.
1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike
Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.
Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.
Kwa nini tusijifunze kwa...
Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam.
Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.