Primers one
Member
- Sep 23, 2024
- 14
- 10
Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
Asante sananimetoka hapo kununua zipper bag dah, mchikichini nadhani
Kituo cha mwendokasi msimbazi B, katikati ya petrol station na kituo cha polisi nyoosha na hio road mpaka utakapoona maduka ya packages
asante sana. Muda gani nikukumbushe?Kesho nikumbushe hapa nitakuulizia
Kuanzia saa 3 asubuhiasante sana. Muda gani nikukumbushe?
Okay. Nitakucheki kakaKuanzia saa 3 asubuhi
KakaKuanzia saa 3 asubuhi
Kwema mkuu, ntakupa majibu muda wowote kuanzia sasaKaka
OkayKwema mkuu, ntakupa majibu muda wowote kuanzia sasa
Naomba nmaba zako nikucheki mkuuNinazo
Unataka kiasi gan?
Fuata haya maelekezo.Umalize mabati ya soko la Kariakoo kwa mbele..nimetoka hapo kununua zipper bag dah, mchikichini nadhani
Kituo cha mwendokasi msimbazi B, katikati ya petrol station na kituo cha polisi nyoosha na hio road mpaka utakapoona maduka ya packages
Okay, asante sanaFuata haya maelekezo.Umalize mabati ya soko la Kariakoo kwa mbele..
Okay
Nicheki boss 0686762210 Nina bei nzuri sana tufanye biashara nitakua nakutumia Kila unapohitajiWadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni