Kuna jamaa kaibiwa simu Kariakoo halafu kwenye laini yake ya Yas mixx kulikuwa na milioni 5, wameiba zote

Kuna jamaa kaibiwa simu Kariakoo halafu kwenye laini yake ya Yas mixx kulikuwa na milioni 5, wameiba zote

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala nida yake aisee wote tunashangaa hapa milioni 5 zote zimepotea
 
Sasa wanatoaje Siri za mteja bila hata nida namba kumbe hatupo salama aisee
Mkuu kupata NIDA namba ni Rahisi sana.Na watu wa mitandao NIDA namba ndio Verification yao.Unaweza Fanya chochote kwenye SIMU as long as un NIDA number ya mtu hasa kutokana na huduma ya self service yaani ni Fasta PIN yako inabadilishwa.
 
Nida namba ya mtu unaipataje kama hajaisevu Wala huyo mtu hamjuani unapata vipi nida namba yake
 
Vipi alama za vidole pia zinakuwa zinaendana?
Mkuu hiyo haina alama ya VIDOLE kwenye mtandao wa YAS nenda sehemu ya Jihudumie,kisha sema unataka kuweka namba ya simu upya kwa sababu umeisahau uone Jinsi ambavyo ipo.

Hizi mashine za Freelance ukiweka namba ya mtu inaweza kukuonesha NIDA yake bila shida yoyote.Alama ya Kidole Gumba ni kwa ajili ya Kusajili tu Laini mpya
 
Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alixapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala nida yake aisee wote tunashangaa hapa milioni 5 zote zimepotea
Alikuwa anatumia app.
Maranyingi apps ya tigo sio salama
 
Nida namba ya mtu unaipataje kama hajaisevu Wala huyo mtu hamjuani unapata vipi nida namba yake
Ukitaka kupata nida namba ya Mtu unatumia hizi mashine za Freelance Ukiingiza namba ya SIMU ya MTU inakuonesha NIDA yake.Kama Huamini Mtafute Free lancer mwambie unataka kurenew laini yako imepotea.Ukimtajia namba ya SIMU yako anaweza kuona NIDA yako anaconfirm tu na wewe kisha unaweka kidole then off you GO
 
Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alixapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala nida yake aisee wote tunashangaa hapa milioni 5 zote zimepotea
Kama laini aliifunga basi haiwezekani muamala wowote kufanyika. Na baada ya ku'renew Sim card kuna muda wa kusubiri ili fedha zirudi kwenye A/c mpya ya Mixx by Yas nadhani saa 24.
Pia, kwa kuwa aliripoti wizi na kiwango hicho cha fedha huwenda kukawa na mchakato mrefu kidogo kabla ya hizo fedha kurudi, kama vile kwenda Yas Shop kujaza form.
Muhimu ni kuwa Hela huwa haipotei.
 
Ni simple tu, ndio ujue hauko salama ndgu.
Kuna mdau alidokeza kua airtel huduma ya kubadili nywila ni rahisi kama kumsukuma chapombe, huenda na mitandao mingine kuna hiyo mianya..

Simu wanayo, ina picha zako si ajabu na za kitambulisho chako, wengine husave namba zao za nida kwenye contacts list zao na tarifa zako za miamala zipo pia aloo ni simple tuwe makini tu na vifa vyetu.
 
Kama laini aliifunga basi haiwezekani muamala wowote kufanyika. Na baada ya ku'renew Sim card kuna muda wa kusubiri ili fedha zirudi kwenye A/c mpya ya Mixx by Yas nadhani saa 24.
Pia, kwa kuwa aliripoti wizi na kiwango hicho cha fedha huwenda kukawa na mchakato mrefu kidogo kabla ya hizo fedha kurudi, kama vile kwenda Yas Shop kujaza form.
Muhimu ni kuwa Hela huwa haipotei.
Amewapigia simu wanasema pesa ameitoa Jana saa tisa jioni
 
Back
Top Bottom