Hellow
Mimi siku zote nilikuwa nikiambiwa watu wanaibiwa simu Kariakoo siamini nasemaga uzembe
Leo sasa yamenikuta mimi na bila yule kijana simu ingesepa bila kujua dah
Mchezo ulikuwa hivi, kaja kijana akaanza nikanyaga kwenye mgu uku anasema kuwa ungekanyagwa wewe namna hii ungejisikiaje...