kariakooo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kariakoo,bei ni billion 7.8,maongezi yapo

    GHOROFA INAUZWA IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿 Underground, floor 1 and 2 ▶Maduka yako kama 60 ▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717 #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kwa baadhi ya maeneo Kariakoo baada ya mvua zinazoendelea Dar

    Na ukikemea unatekwa, kuboresha hawataki wanataka tuteseke tu sasa hapo biashara zinazungukaje ukikosoa unatekwa nchi ina hali mbaya viongozi hawataki kujua kero zetu. Umaskini gani huu, hii ndio kioo cha biashara Tanzania je vipi huko vijijini aisee Mungu tuokoe Soma pia: Hali mbaya ya...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

    Hellow Mimi siku zote nilikuwa nikiambiwa watu wanaibiwa simu Kariakoo siamini nasemaga uzembe Leo sasa yamenikuta mimi na bila yule kijana simu ingesepa bila kujua dah Mchezo ulikuwa hivi, kaja kijana akaanza nikanyaga kwenye mgu uku anasema kuwa ungekanyagwa wewe namna hii ungejisikiaje...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa ianzishe Kariakooo nyingine maeneo ya Mbezi Louis

    Tatizo kubwa ni kuwa na soko kubwa eneo moja ndio maana wafanyabiashara wanapata jeuri ya kuivimbia Serikali, kuna haja sasa kwa Serikali kuanzisha soko kubwa la kimkakati katika maeneo ya Mbezi Mwisho karibu kabisa na stendi ya mabasi ya Magufuli. Tumeona adha iliyo sababishwa na...
Back
Top Bottom