tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Na ukikemea unatekwa, kuboresha hawataki wanataka tuteseke tu sasa hapo biashara zinazungukaje ukikosoa unatekwa nchi ina hali mbaya viongozi hawataki kujua kero zetu. Umaskini gani huu, hii ndio kioo cha biashara Tanzania je vipi huko vijijini aisee Mungu tuokoe
Soma pia: Hali mbaya ya barabara Kariakoo Dar
Soma pia: Hali mbaya ya barabara Kariakoo Dar