Mpangaji wangu amepanga kwangu Chanika anatafuta shule nzuri ya English Medium iliyopo karibu na Chanika. Au inayo weza kufikika kwa urahisi kutoka Chanika. Inaweza kuwa Mvuti, Chamazi, Segerea, Ukonga, Gomz etc.
Ada kuanzia laki tisa hadi milioni moja na laki 2 kwa mwaka.
iwe na watoto wengi...