karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. R-K-O

    Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

    Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same. Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
  2. DR HAYA LAND

    Kama kijana hakikisha unakuwa karibu na Tajiri kwa vyovyote vile.

    Kama kijana Hakikisha unakuwa karibu na Tajiri . Tajiri watu muhimu Sana hawana baya . Na ukiwa na urafiki na Tajiri usiombe. Pesa omba connection tu . Na msalimie kwa maneno mafupi kwa kuanza na nomino pia tumia lugha ya mkato na sio vifupisho. Tajiri anapenda kujulikana uwepo wake...
  3. N

    SoC03 Asante Magharibi, karibu Mashariki

    Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
  4. Lidafo

    Karibu Mwekezaji Kwaheri Uhuru

    Tanzania imekuwa ikipitia vipindi tofauti tofauti vya maswala makubwa ya kitaifa yanayohusu ushirikishwaji wa wanachi moja kwa moja, Suala linalotikisa kwa sasa ni suala la mkataba kati ya serikali yetu na kampuni ya DP world jambo hili linazidi kuchukua sura tofauti kila iitwapo leo kwani...
  5. D

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida...
  6. Tarimofundiumeme

    Karibu Tukufanyie Wiring ya umeme kwema Jengo lako kwa gharama nafuu sana.Tuna leseni na tupo kwenye mfumo wa nikonekti TANESCO

    FUNDI UMEME.(Wiring za umeme) -Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana. -Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani. Tuna...
  7. KikulachoChako

    Ni kisa au mkasa gani uliwahi kufanyiwa na ndugu au mtu wako wa karibu?

    Habari za muda huu wapendwa Bila shaka kwenye safari ya maisha kila mmoja wetu amewahi kukumbana na visa na mikasa mbali mbali kwenye purukushani za maisha Mikasa ambayo imekuwa ikitupa mafunzo na mafundisho maishani mwetu na wakati huo huo kubadilisha kabisa mitazamo ya maisha yetu juu ya...
  8. ankol

    Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

    Salaam wananchi, Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa. Vipi ataweza ama atazingua?
  9. MK254

    Kiwanda cha mafuta karibu na ikulu ya Putin chapigwa bomu ya drone

    Ukraine wanapiga ndani ndani karibu na ikulu ila pia wanakomboa maeneo nyumbani................. 'Ukraine drone' strike hits oil refinery just 80 miles from Putin's palace: Major explosion on tyrant's doorstep as Russia also loses another general amid surging Kyiv counteroffensive Video...
  10. NALIA NGWENA

    Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

    Kutoka Yanga official page Amekwenda Azam Sc. ----- Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC. Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halijawekwa wazi na ataungana na timu yake mpya baada ya dirisha la...
  11. Fortilo

    Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B. Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln. Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo...
  12. Afrocentric view

    Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Banana, Buza, Kinyerezi, Segerea na karibu yake

    Hello wadau' Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo. Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide. Natafuta master room Tiles, gypsum all that Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi. Bajeti: kisizidi laki
  13. T

    Je, huduma za Bolt/Uber zinapatikana karibu na uwanja wa ndege wa KIA?

    Naomba kujua, baada ya kutua KIA, je kuna huduma za usafiri za kimtandao kama Bolt ama Uber pale jirani kama ilivyo kwa JKN ama Mwanza ama Dodoma? Binafsi KIA sijawahi kutua pale nikatumia usafiri wa umma, mara nyingi hua kunakua na usafiri wa ofisi ama kuna mshikaji wangu hua anakuja kunipokea...
  14. BeiSawaNaBURE

    Nauza povu lenye kuzuia maji kuvuja

    HIGHPOWER - STOP THAT LEAK FOAM Tumia High Power Stop That Leak Foam kwa mizunguko ya maji inayovuja! Povu lenye kuziba haraka na kwa ufanisi mianya yote. Thibitisho la kudumu, hata kwenye nyuso tofauti. Funga mizunguko ya maji iliyovuja kwa urahisi na uhakikishe mazingira kavu na salama...
  15. KING MIDAS

    Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

    Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar. Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia. Mitume...
  16. Magufuli 05

    Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

    Sitaandika sana, Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera! Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea. Dunia mapito jama.
  17. Intelligent businessman

    Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

    Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano. 👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo. Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa...
  18. M

    INAUZWA Karibu ununue Mchele, Mahindi na mazao mengine kutoka Mbeya

    Hello there ! Niko Mbeya, katika Uzi huu ntakuwa naweka bei za vyakula Mbalimbali kutoka Mbeya, kama mtu unataka utawasiliana Na Mimi,makubaliano yatakuwa hivi, mi nitaweza kukuagizia Kuanzia kilo ishirini, mfano Mchele au maharage Ikiwa utaagiza kilo ishirini za Mchele, katika Kila kilo...
  19. Pang Fung Mi

    Karibu elimu, tiba na uzoefu wa kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvuka changamoto za ndoa, mahusiano na mapenzi

    Hello hello Family! Wasalaam? Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi. Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
  20. K

    Wakatoliki walifanikiwaje kuweka utaratibu wa kiibada unaofatwa karibu ilimwenguni kote?

    Utashangaa ukihudhuria ibada ya kikatoliki labda mwanza masomo yatakayosomwa hapo Mwanza ni sawa na somo litakalosomwa Bukoba, Mbeya, Shinyanga, Lindi, Mtwara, Tanga nk yaani nchi nzima ujumbe utakaotolewa ni uleule bila kupungua au kuongezeka. Hiki kitu sijakishuhudia katika makanisa mengine...
Back
Top Bottom