karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Karibu Singida Katibu Mkuu CCM

    Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
  2. T

    Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

    Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu. Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni...
  3. Heaven Seeker

    Karibu upate ushauri mbalimbali kuhusiana na changamoto za maisha bila malipo

    Heshima kwenu Wakuu. Naam, hii ni fursa ya kubadilishana mawazo hasa kwa wale wenye changamoto za maisha ili ku-share experiences na skills za hapa na pale. Kwahiyo karibu sana na ujisikie huru. Itapendeza iwapo utaelezea kwa undani kidogo changamoto uliyonayo ili iwe rahisi kusaidiwa. Je...
  4. Hemedy Jr Junior

    Fahamu mambo matatu (3) muhimu kwenye maisha hapa duniani

    FAHAMU MAMBO MATATU(3) KWENYE MAISHA HAPA DUNIANI [ ] MUDA. [ ] URAFIKI. [ ] UPENDO. • Asalaam allhkum | habari za wakati huu... Kijana unatumia vipi muda wako katika (nyakati hizi) Muda ni mali aya muda unakuwaje mali sasa .je ?tunatumia mitandao kufanya mambo SAHIHI au ndo kupoteza muda...
  5. G

    Ilitokeaje mpaka makanisa yanaruhusu unywaji pombe wakati inaleta majaribu ya kutenda dhambi zaidi na kukusogeza karibu na ulevi?

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu. Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi? Pombe ni dawa ya...
  6. Tuko

    Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kusimamisha magari kwa saa tatu ni halali?

    Wanaofahamu sheria naomba watusaidie... Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa? Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka...
  7. buffalo44

    Karibu kwa huduma ya graphics, mabango, stickers, logo, UI/UX design na zaidi. (Bei imeambatanishwa)

    LOGO DESIGN Bei: 50,000/= 2 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. 70,000/= 3 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. BRAND IDENTITY Bei: Tsh 100 000/= Logo, pamoja na patterns, matumizi ya rangi, na elements muhimu zinazobeba brand...
  8. T

    Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati

    Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati Kwa karne nyingi, hali ya lishe isiyofaa imedhoofisha afya za watu wengi na kuwasababishia magonjwa. Awali kulikuwa na tatizo la utapiamlo na sasa nikinyume chake na watu kunenepa kupita kiasi. Ingawa hakuna vyakula vya...
  9. matunduizi

    Nimepiga chabo vitabu vya mchungaji, karibu 90% ni jinsi ya kutatua mambo ya ndoa

    Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro. Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye fokasi, wanaacha kujifua mambo ya maana ya kwenda mbinguni wanaishia Kutafuta namna ya kutatua migogoro...
  10. B

    Kero gani nitapata nikijenga karibu na mashine ya kusaga?

    Wakuu habari. Nimebahatika kununua kiwanja, viwanja vyetu vya skwata, Ila niliyepakana naye anaweka mashine ya kusaga. Je niendelee na ujenzi wa nyumba ya kuishi, au ni kero gani naweza kupata nikijenga Naomba mawazo yenu
  11. aka2030

    Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

  12. Determinantor

    Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
  13. O

    Watu wa Dodoma karibu wote ni CCM ikiwemo watu wa kijiji cha Mpwayungu

    Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM. CCM imeshika mizizi mkoa wa Dodoma na vijiji vyake vya mkoa huo ikiwemo kijiji cha mpwayungu. CCM imeshika mizizi...
  14. Championship

    Nabii na Mtume Mwamposa karibu hapa Zanzibar uujaze uwanja wa amani

    Nitakuwepo hapa Zanzibar kwa majukumu unguja na pemba kwa wiki kadhaa. Nimegundua wengi wa wakazi wa hapa walienda uwanja wa Mkapa Dar es salaam kwa ajili ya ibada ya vuka na chako. Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani...
  15. L

    China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia

    Katika mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China alitoa salamu za mwaka mpya wa 2023, akibainisha kuwa, China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia, na inachangia busara na mipango ya China kwa ajili ya amani na maendeleo ya binadamu wote. Mafanikio ya China kutokana...
  16. Mpinzire

    Karibu nikuuzie M.2 SSD kwa Ofa ya Mwaka mpya

    Ni Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa. Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja. Description ● PCIe Gen3 x4 interface ● Fast read/write performance ● Heat sink keeps things 15% cooler ● Great upgrade option for creators ● High capacities ● Supports...
  17. saidoo25

    Kwa heri 2022 karibu 2023, "Watu Wazuri Hawafi"

    Leo ndio mwisho wa Mwaka 2022 nawakatia kila kheri watanzania wenzangu wote wa dini zote na wasio kuwa na dini. Ila Tukio kubwa lilinifikisha sana mwaka 2022 ni kutangazwa kwa kampeni mpya ya familia moja maarufu wakisema 'WATU WAZURI HAWAFI'. Tumuombe Mungu tuingie 2023 tukiwa na afya njema...
  18. mitale na midimu

    Sababu kwanini Matajiri wengi hawaendi Makanisani, na wakienda wanaenda wakiwa wamechelewa sana

    1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero. 2. Mahubiri mengi yamelenga...
  19. D

    Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

    Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya! Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja! Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
  20. T

    Je, Halmashauri ya Jiji mnataka kutuletea kipindupindu wakazi tunaoishi karibu na Soko la Mbogamboga la Ilala? Njooni mzoe taka zenu

    Habari zenu! Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
Back
Top Bottom