Habari wadau!
Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini.
Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu sijajua cha kufanya. Nipeni wazo niifanyie nini?
Concern yangu ni kwenye ishu ya COVID -19. Zile story za kwamba ukifika DIZONGA lazima ukae karantini wiki mbili kwenye hoteli ya 5 star kwa gharama zako mwenyewe zina ukweli wowote? Vipi kuhusu wimbi jipya la maambukizi ya COVID ni kama tunavyo aminishwa na media au huko...
Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa mashambani huko vijijini. Majina ya asili yatachanganyikana na ya kichina kwa hiyo yatapotea kabisa...
1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka
2. Kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka
3. Kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka
4. Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka
5. Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka
Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo...
Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro.
Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo kuwapiga Machinga.
Pia amesisitiza ajira zote zinazokuja za Ma-DC zijazo zitakuwa za vijana.
Habari wakuu!
Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu,
1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini?
2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels...
Kaandika hivi kupitia twitter:
Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania...
Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation
Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene majengo, kwene vyombo vya usafiri, kwene chamber za chooni, kwene masoko, mahotelini, mahospitali n.k...
Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kuuliza nini maana ya maneno haya kama yanavyotumika hapa JF:
1. Chai ya moto
2. Chai ya tangawizi
3. Chai kavu
Nimeyaona yakitumiwa na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali ila mimi sielewi wanamaanisha nini wanapoyatumia. Naomba kujuzwa ili twende pamoja
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa.
========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia)
Debe la mahindi utapata KWA 8500
Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa.
Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k.
Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu.
Karibuni
Unakosaje Huduma bora na uhakika wahi sasa
Von Hotpoint Cooker - Stainless Steel
Price Tshs 650,000/=
#Product Features
. 3 Gas Burner and 1 Electric Cooker
[emoji830]Electric oven and grill
[emoji830]Push Button Ignition
[emoji830]Mechanical Timer
[emoji830]Thermostat
[emoji830]Oven Lamp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.