NAITAFAKARI HOTUBA YA JAJI WARIOBA.
KAULI ZAKE ZENYE UTATA, ZINAHITAJI UFAFANUZI!
Mzee Joseph Sinde Warioba kitaaluma ni mwanasheria. Msomi wa zamani wa mwanzo wa Chuo kikuu chetu cha Dar es Salaam, kilichoanzia Mtaa wa Lumumba.
Kabla ya hapo wanafunzi wote waliotoka Tanganyika, walikwenda...
🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
Wanaukumbi.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake.
Marekani na nchi...
On the basis of evidence collected and examined by my Office, I have reasonable grounds to believe that Yahya SINWAR (Head of the Islamic Resistance Movement (“Hamas”) in the Gaza Strip), Mohammed Diab Ibrahim AL-MASRI, more commonly known as DEIF (Commander-in-Chief of the military wing of...
Staa wa soka Karim Benzema amefungua mashtaka ya jina lake kudhalilishwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gérald Darmanin ambaye alimtuhumu kuwa na uhusiano na Kundi la Muslim Brotherhood ambalo limepigwa marufuku katika Nchi kadhaa zikiwemo Misri, Urusi na Saudi Arabia.
Oktoba...
Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka nchini Misri.
====
Kufuatia tuhuma za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero.
Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
Karim Rehmtullah nilisoma naye Shaaban Robert Secondary mwaka 1984 hadi 1987. Alikuwa rafiki yangu sana. Tumepotezana tokea tumemaliza O-level. Bibi yake ndiyo alikuwa anamiliki ghorofa fulani Uhuru Street linaitwa “Mary Martis”. Naomba kwa wanaomjua wanitonye mshikaji yupo wapi. Asanteni.
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika Jumamosi nchini Kenya.
Bondia Karim Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa pointi dhidi ya Alibaba Tarimo katika pambano la uzito wa kati lisilo la ubingwa la Raundi 4.
Akizungumza baada ya ushindi huo Mandonga amesema alichoahidi amekitimiza kwa kuwa mpinzani wake hakuw ana uwezo wa kupigana naye.
Upande wa Alibaba...
Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup final on Sunday.
The 2022 Ballon d'Or winner missed the tournament in Qatar with a thigh injury and...
Mshambuliaji huyo amekataa ofa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye ametoa ndege yake binafsi kwa wachezaji wote majeruhi wa taifa hilo kwa ajili ya kwenda Qatar kushuhudia mchezo wa fainali dhidi ya Argentina, leo Desemba 18, 2022.
Inadaiwa Banzema alikasirishwa na maamuzi ya Kocha wa...
Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa.
Licha ya kuelezwa atakuwa nje ya uwanja wa wiki tatu, Benzema mwenyewe...
Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake.
Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora...
Popote mlipo, vyombo vya Habari na waandishi wote wa Habari nchini hamjatumia weledi katika kuripoti Habari ya Mandonga. Hamjatusaidia na wala hamjatupa elimu ya kutosha katika hili. Mmekuwa kama kasuku. Lakini ni kawaida yenu. Imefika hatua sasa, kila mtu anataka kuwa hodari wa kuelezea jinsi...
Zamani bondia Karim Mandonga alikuwa 'baunsa' wa Watu Pori, kundi la Afande Sele. Alikuwa anapenda msosi kuliko bia, kila wenzake wakiagiza bia moja naye anaagiza sahani ya chips. Afande Sele anasema Mandonga mtu wa kazi kweli.
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson"
Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani...
Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni.
Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
Mara baada ya mechi ya jana kwenye UEFA Cup of Champions (Finalissima) wachezaji wa Argentina walionekana kumbeba Messi na kumrusha juu katikati yao.
Kwa kawaida hili huwa anafanyiwa kocha wa timu kama ikitokea wamebeba kombe. Kitendo hiki kinatafsiriwa kwamba Messi ndiye aliyeibeba timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.