Mwizi kaingia kwa Muandishi wa Habari Farouk Karim usiku wa kuamika leo Jumapili akaiba nguo na viatu na akaingia kwenye gari ya Farouk akachukua power window lakini hakuondoka tena akalala hapo hapo hadi asubuhi ya leo, wenyewe wakamgundua na kuja kuchukuliwa na Jeshi la Polisi.
Farouk hii...
Salam wanajamvi;
Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira iliyotumika?
Nimesoma mahali kuwa ni rangi za bendera ya LGBT, ila kampeni ya weekend ilikuwa "Games for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.