karma

Karma (; Sanskrit: कर्म, romanized: karma, IPA: [ˈkɐɽmɐ] (listen); Pali: kamma) means action, work or deed; it also refers to the spiritual principle of cause and effect where intent and actions of an individual (cause) influence the future of that individual (effect). Good intent and good deeds contribute to good karma and happier rebirths, while bad intent and bad deeds contribute to bad karma and bad rebirths.The philosophy of karma is closely associated with the idea of rebirth in many schools of Indian religions (particularly Hinduism, Buddhism, Jainism and Sikhism) as well as Taoism. In these schools, karma in the present affects one's future in the current life, as well as the nature and quality of future lives - one's saṃsāra.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Karma: Ipo siku Mama atakuja shuhudia mwanae, mjukuu au hata Mwenza wake akienda Jela au Mahabusu

    Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii. Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao. Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu...
  2. nyboma

    Hakika dhuluma haifai leo unaweza mdhulumu mtu ukajiona mjanja kumbe karma inakuwinda pasipo wewe kujua

    Moja kwa moja kwenye historia yangu binafsi ya maisha yangu enzi za utafutaji, ni miaka takribani 27 imepita tangu mshiriki wangu katika biashara akimbie na fedha zote na mtaji na kutokomea kusikojulikana, kwa ufupi ni kwamba huyu bwana miaka hiyo enzi za utafutaji niliungana nae tukawa...
  3. sanalii

    Ukitongozwa na mke wa mtu ukatembea nae, karma inakufata?

    Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wake?
  4. Kinuju

    Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

    Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani. Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa. Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika...
  5. Jidu La Mabambasi

    #COVID19 Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

    Bibie akikandia kuchanja covid kivyake vyake!
  6. Shujaa Mwendazake

    KARMA: Manara uliwanyea wenzio nje ya Simba, leo klabu imekukataa wenzako nao wamekuacha unyewe

    Kwa ufupi tu, Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga mahusiano na klabu zingine, kujenga mahusiano jamii ya habari na taaasisi zingine nje ya mpira. Pia...
  7. escrow one

    KARMA: Tulishangilia wakati wengine wanalazimishwa kulipa kodi za dhuluma, sasa yameturudia inabidi tushangilie

    Kwa miaka takribani sita iliyopita matajiri hawakupumua nchi hii, kodi za dhuluma ziliwaelemea. Kesi za uhujumu uchumi ziliwazunguka, akaunti zao zilifungwa na wengine ilibidi wahame nchi. "Wanyonge" walishangilia kwa vifijo, miluzi na tarumbeta. Hawakujua nao yangekuja kuwatokea. Hivi sasa...
  8. Shujaa Mwendazake

    Kabudi ni wakati wa kunyamaza; karma ikikunyamazisha familia yako itafedheheka sana

    Kabudi Ni kati ya waasisi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na ndio wadau wa kwanza wa kudai mabadiliko ya katiba miaka 25 iliyopita since 1995 kilipo anzishwa na kuwa mjumbe wa bodi mpaka alivyoteuliwa kuwa mbunge. Ni muandishi wa machapisho mengi kuhusu katiba pia. Hiki ni kipimo...
  9. Grena

    Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    Habari zenu wakuu, Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya. Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua...
  10. Pascal Mayalla

    Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwa naweletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni kuhusu dhana ya kitu kinachoitwa "Life after Life", ambapo najikita kwenye maswali haya Je, wajua kuwa, binadamu hata baada ya kufa, bado anaendelea kuishi?. Mfano rais...
  11. Pascal Mayalla

    Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

    Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...
  12. M-mbabe

    Amani Karume aliijua nguvu ya karma, akatubu, akatafuta suluhu na Maalim Seif na Serikali ya Mseto Z'bar ikaundwa. Komandoo Salmini kulikoni?

    Uzi huu ni swali. Tuelimishane kwa tunaojua jibu la swali. Viongozi wakuu SMZ wanaomaliza muda wao mwaka huu 2020 na wapya waliotangazwa kushinda kwenye uchaguzi uliomalizika visiwani Zanzibar yawapasa warudi nyuma kidogo, watafakari kwa kina na kujifunza kutokana na historia ya chaguzi za...
  13. Miss Zomboko

    Wema Sepetu kuwania tuzo za HAPAwards 2020 Nchini Marekani kupitia Filamu ya Karma

    MREMBO anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS 2020) nchini Marekani. Wema, ameingia kwenye tuzo hizo akiwania kipengele cha Mwigizaji Bora wa kike wa Tamthilia za...
  14. S

    Kama bei ya kununulia ndege inatamkwa katika vitabu vya Bajeti,ugumu wa kuweka wazi mikataba unatoka wapi?

    Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake). Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi...
  15. The Boss

    Uchaguzi 2020 Kutulazimisha wabunge tusiowachagua: Magufuli haogopi 'karma'?

    Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine. Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama. Kutunyima haki...
  16. B

    Je, nadharia ya karma ina ubaguzi?

    Kwa mujibu wa nadharia hii ni kwamba kwa kila tendo liwe zuri au baya utapokea malipo yake hapahapa duniani kabla haujafa. Kwa baadhi ya watu nadharia hii inafanya kazi ila kwa watu wengine inakataa kwa nini? Kwa mfano viongozi wa nchi ya Marekani wameamrisha mauaji ya watu wengi duniani...
  17. N

    Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

    Habarini! Poleni kwa mtikisiko huu wa korona na Mwenyezi Mungu atuepushe, amina! tuendelee kuchukua hatua stahiki tafadhali! leo ni siku ya 3 kama sikosei nyimbo ya alikiba inatrend namba 01 views ni kama 1.4M. kuna mambo kidogo yananishangaza: 1. Kwanini views za huyu lazima mara zigande au...
  18. Victor Mlaki

    Karma inaniumiza sana mwenzenu

    Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho. Ninaamini humu...
  19. Kilele9

    Coincidence or karma?

    Salaam. Nimeikuta hii katika mitandao ya kijamii. Kama ni kweli, je tuna jambo la kujifunza? Nawasilisha.
  20. Pascal Mayalla

    Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...
Back
Top Bottom