Kwa ufupi tu,
Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga mahusiano na klabu zingine, kujenga mahusiano jamii ya habari na taaasisi zingine nje ya mpira. Pia...