MBINU ZA KUTOKUCHEPUKA KWA KARNE 21 - 22
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Ikiwa wewe ni mvivu soma kwa urefu wa kamba za akili yako.
Hakuna mtu mwenye akili timamu, muadilifu na aliyestaarabika anayependa kuchepuka. Ni wazi kuwa kuchepuka ni ishara ya mtu kujidharau, kujidhalilisha, kumuasi Mungu...