kasalali mageni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge Kasalali Mageni atangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa

    Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo. Kasalali ametangaza leo Julai 2 mwaka huu na kueleza kuwa kwa sasa anataka kupumzika kuwatumikia...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Kasalali Mageni: Wafanyabiashara wa Kigeni Wanakwepa Kodi

    Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni, ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia, hususan China, akisema kuwa pamoja na wingi wao, wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi. Akichangia makadirio ya bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mageni amesema kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…