Kuanzia jumapili tutashuhudia mengi, Ndugai anamtisha Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa wasipomdhibiti Gwajima, atahojiwa waziri mbele ya Kamati ya Maadili.
Ndugai, Waziri Wkuu aliudanganya umma kuwa Rais Magufuli haumwi kabisa na hana tatizo lolote tena aliyasema mbele ya waumini siku ya ijumaa...
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni.
Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel Ltd na Mkurugenzi wa Bongo News YouTube, Heri Said(29).
Washitakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na...
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwezi wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazini anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo ametembelea mradi wa bwawa la Nyerere na kuwataka watanzania kuwapuuza wale wote wanaosema mradi huo hauna faida kwa nchi.
Mh Majaliwa amesema mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi wa 6/2022 na kukabidhiwa kwa watanzania tayari kwa matumizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.