kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Kwanini Tanzania inapanga kununua umeme kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini

    Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.
  2. F

    Mahitaji ya watu wa mikoa ya kaskazini ni barabara za lami, reli na mipango miji na sio umeme kutoka Ethiopia!

    Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya: 1. Barabara za lami 2. Reli ya mpya (SGR) 3. Mipango miji 4. Viwanda Kusema ataleta...
  3. Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

    Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga. Anaamua kuyauza na kisha kwenda dukani kwa mangi kununua sembe. Nauliza, umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya...
  4. S

    Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha? Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
  5. Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

    Nchi ya Burundi, inayohusika na vita vinavyoendelea mashariki mwa Congo, kupitia makubaliano ya ushirikiano kwa mambo ya kisalama, kuanzia Septemba 2023, na hili jambo liliifanya Burundi kuwa mshirika mzuri kikanda. Burundi imeweza kupeleka nchini Congo wanajeshi wapatao elfu 10 kulisaidia jeshi...
  6. Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  7. Wanajeshi wa Korea Kaskazini Waua wanajeshi wa Urusi

    Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa." Hii ilikuwa Published...
  8. ACT yaipongeza Tume ya Haki za Binaamu kutangaza kuchunguza mauaji yaliyotokea Kaskazini 'A' Unguja

    TAARIFA KWA UMMA ACT Wazalendo tunaipongeza Tume ya Haki za Binaamu na Utawala Bora (THBUB) kwa taarifa yake iliyotoa kwa umma kwamba inafuatilia matukio mawili ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni hapa Zanzibar, tukio la kwanza lililotokea Kidoti, Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja tarehe...
  9. Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

    Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi. --- North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a...
  10. Simba kwa mara ya kwanza anapata ushindi kaskazini mwa Afrika

    Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien . 1 : Walihakikisha wanawafanya Cs Sfaxien hawanufaiki na mipira ya juu yote ya juu (wanacheza...
  11. Ngumu kuipiku Kaskazini - Kusini, Visiwan tuwe wapole!

    1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire ndo zinaongoza kuingiza pato kiutalii Tanzanite inatoka Kaskazin pia 2. Nipo Kaskazini...
  12. Mashambulizi Mazito ya Mizinga ya Saudia Yaripotiwa huko Saada, Kaskazini Magharibi mwa Yemen

    Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen. Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza...
  13. Kwa pamoja njooni tuwape Wachaga Maua yao

    Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine. Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini especially Moshi ni dhahira tunapasaa kusema utamaduni huu umekua kivutio kikubwa sanaa ndani na nje ya...
  14. BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

    Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
  15. S

    Zijue sababu za kuahirisha uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema Kanda ya Kati na Kaskazini

    Uchaguzi wa wenyeviti wa chadema Kanda ya kati na kaskazini uliahirishwa. Ndiyo juzi hapa kamati kuu ya chadema ilikutana kupitisha majina ya wagombea. Unazijua sababu za uchaguzi huo kuahirishwa? Sababu ni kwamba;- wagombea wa Mbowe ktk Kanda hizo walikuwa hawakubaliki. Kanda ya kaskazini...
  16. CHADEMA yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Kanda ya Kaskazini na Kati

    Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati. Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa...
  17. Debora Tluway Atembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja, Azindua Bananza la Utamaduni

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
  18. Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  19. M

    Askofu Shoo: Baadhi ya Sharika za KKKT Dayosisi ya Kaskazini Zinatumika Kisiasa

    NA SAMWEL JOHN LEMA Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa. Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la...
  20. R

    Natafuta wakulima wa choroko kanda ya kaskazini

    Habari wakuu. Nahitaji kuwasiliana na wakulima wa choroko mikoa ya kaskazini kwa mazungumzo ya kibiashara.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…