kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Rais wa Korea Kaskazini apoteza zaidi ya kg 40 toka January 2021

    Katika kile kinachoonekana kama athari za ugonjwa wa kisukari ama matumizi ya teknolojia za AI katika matibabu ya bwana Kim hatimaye ameweza kupungua uzito zaidi ya kilo 40 toka mwanzoni mwa mwaka huu Ikumbukwe mpaka mwaka 2019 bwana mdogo Kim mwenye umri wa miaka 37 alikuwa na uzito wa zaidi...
  2. K

    Kuna Tofauti kubwa ya wadau wa upinzani wa Kaskazini na sehemu nyingine

    Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio barabara au madarasa ya shule. Ni sehemu ambayo ilikuwa na barabara nyingi za lami na shule nyingi...
  3. Mapank

    Korea Kaskazini yajaribu kombora jipya la masafa marefu lenye uwezo wa kupiga Japan

    Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu. Jaribio lililofanywa mwishoni mwa wiki lilishuhudia makombora yakisafiri hadi umbali wa km1,500 (930 maili),kulingana na KCNA. Jaribio...
  4. Shadow7

    Kimbunga Ida: Idadi ya vifo yapanda hadi watu 41 katika majimbo manne ya kaskazini mashariki mwa Marekani

    Baadhi ya wakazi wamekwama katika maeneo ya chini ya nyumba zao yaliyofurika maji pamoja na ndani ya magari yao Rais wa Marekani Joe Biden anasema "uwekezaji wa kihistoria " unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo ya kaskazini-magharibi mwa nchi yakikabiliwa na mafuriko...
  5. Erythrocyte

    Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

    Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili. Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao wanakabiliwa na mashtaka...
  6. Kibosho1

    Kwanini watz wenye uelewa duni wana dhana mbaya dhidi ya watanzania wa kaskazini?

    Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga. Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli? Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania...
  7. Sam Gidori

    Kim Jong-Un akiri Korea Kaskazini inakabiliwa na njaa

    Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
  8. aka2030

    Mikoa ya Kaskazini ni matajiri ila mbona nguo za mitumba nyingi?

    Mtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika. Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya? Kuanzia Moshi...
  9. Sky Eclat

    Mtoto wa Kim Jong-Un mwenye umri wa miaka 13 ni Luten wa jeshi la wananchi Korea Kaskazini

    Unaambiwa Mtoto wa Kim Jong-Un, Kim Lau Jong-Un ambae kwa Sasa ana Umri wa Miaka 13 Ndie Luteni wa Jeshi la Nchi ya Korea Kaskazini. Aliapishwa Kuwa Luteni Mwaka 2017 akiwa na Umri wa Miaka 9,Mtoto huyo anaandaliwa Kuwa Mkuu wa Majeshi na Kiongozi wa Nchi hiyo Siku Baba yake Kim Jong-Un atakapo...
  10. G

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA. Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk. Nimejifunza mambo yafuatayo. Mosi, Kama...
  11. ACT Wazalendo

    Zanzibar: Othman Masoud awataka wananchi wa mkoa wa Kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili Serikali ipambane kuleta maendeleo

    Makamu wa kwanza wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amewataka wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili kutoa fursa kwa serikali kupambana katika kuleta maendeleo. Makamu wa kwanza ameyasema hayo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea...
  12. Kikusya

    Nini kifanyike ili reli ya Kaskazini isife kama ilivyokufa mwanzo?

    Mimi sijui kwa nini ile reli yetu ya kaskazini ilikufa na tufanyeje ili hii iliyofufuliwa isife kamwe? Tumejifunza mengi sana kwa hayati John Magufuli, na Mungu amuweke mahala pema peponi. Mimi nahamini kila binadamu ataenda peponi na hilo ndiyo kusudio la Muumba wetu. Je kuna nini cha...
Back
Top Bottom