kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

    Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha. Pia ukiangilia video jinsi...
  2. Joe Makini mwamba wa kaskazini

    JOE MAKINI - DAKIKA 90 Nafika home kisha mama yako anakueleza ndani ya hi game umefunikwa na joh makini mwamba wa kasikazini/ utamjibu nini umefanya kweli kiasi ambacho imewapindi kupana lakini mchezo mmeushudia dk 90/ hakuna jinsi nilivyo kukandamiza chini/ na stahili siti ndani ya v.i.p/...
  3. Wabunge Wanawake Zanzibar Wafika Kaskazini Unguja, Wakagua Miradi Iliyotekelezwa

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais wa Zanzibar na...
  4. LGE2024 Sasa ni rasmi ngome ya CHADEMA Kaskazini imekosa muelekeo

    Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii. Ndio maana Mbowe kaanzia Mbeya na Lissu kaanzia Singida huku Lema hasikiki yupo wapi haswa
  5. BBC: Urusi imeipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

    Ni mwendo wa kula uliwe Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza. Mafuta...
  6. Wanawake wa mikoa ya kaskazini wanavyojichotea mabilioni kutokana na kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara

    Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
  7. BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  8. Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  9. Ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya Mwanza Kaskazini umefikia asilimia 44

    MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni mia 6 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na...
  10. Wainjilisti waliotoka uislamu Musa B. Musa, Ibrahim Dikko, Muhammad Muhammad jinsi wanavyowindwa Nigeria kaskazini

    Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada mkubwa katika kuwakaribisha wageni kwenye Imani na kuongeza utukufu kwenye taifa la Mungu Lakini mbali...
  11. Waziri wa Israel awaita wananchi wa Israel kuanzisha makazi Gaza ya kaskazini

    Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
  12. Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  13. M

    Korea ya Kusini imepaniki kwa taarifa zisizothibitishwa kuwa askari wa Korea ya Kaskazini wanapigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine

    Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!! po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia...
  14. Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

    Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.
  15. I

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
  16. KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  17. Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

    Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa. Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
  18. Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku. Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo Rais anaheshimika kama Mungu Nchi Pekee duniani iliowahi...
  19. C.I.A imetangaza ajira kwa Wachina, Korea Kaskazini na Iran

    Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao. Hii inamaa kuwa CIA sasa inapanua kufikia nchi hizo kama ilivyofanikiwa kwa urusi na hilo ni sera ya kipekee...
  20. M

    Zimebaki chini ya siku 90 ndugu zetu wa Kaskazini kwenda kuhesabiwa.

    Kama ilivyo kawaida yao ndugu hawa kila mwisho wa mwaka kuanzia tarehe 15 Desemba na kuendelea, huenda kuhesabiwa kwenye asili yao mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Majiji kama Dar es Salaam, Arusha na Dodoma watu huwa wana pungua na hata foleni ya magari pia. Kila la heri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…