Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati.
Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE...
Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo.
Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa fulani unayoijua ila hupaswi kuisema kwa huyo anayekuuliza kwasababu ni SIRI; Je utamdanganya kwa...
Mauaji haya yanayo tekelezwa na Israel kwenda kwa viongozi wa makundi hasimu yanayo washambulia na kuharibu mipango yao yanafanana na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali mbalimbali dhidi ya viongozi wa vyama vya kisiasa vya kikomunisti vilivyo kuwa na vikundi(jeshi la mapambano) dhidi ya...
Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote .
Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao
Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo...
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.
My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa...
Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi.
Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na serikali ya awali ya Hayati Raisi aliekuwa mfuasi kindakindaki wa Hayatollah na mapinduzi. Anajaribu...
Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi.
Ebwana hizi mutu zinakimbia. Nadhani huko wanapotoka walikosa fursa za kuwa wanariadha wakajikuta wapo kwenye Soka.
Wazee...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.
Ukifuatilia kwa umakini...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete
Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia upande upi, kwa malengo gani na kwa Idadi ipi.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
US...
Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Wengi wetu tumekuzwa tukishuhudia mara kadhaa mishumaa ikiwekwa moto katika vipindi mbali mbali vya ibada.
Jambo hili limekuwa likifanyika katika ibada za imani tofauti tofauti duniani tangu enzi na enzi.
Lakini, si wote wanaweza kujua ni nini hasa maana yake, na wengine wamezoea kufanya hivi...
Baada ya rais kutoa hotuba kuwashutumu mabalozi waliohimiza uchunguzi huru na wa haraka,watu wanaoona mambo kwa rangi zake waliona matundu na kasoro katika hotuba ya rais.
Jana,mwenye ID Malcom Lumumba alinyoosha maelezo kwa kina kuelewesha watu ni wapi rais alikosea katika hotuba yake...,na kwa...
Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila kukicha nchini, nazani kupitia soka na machezo mingine, itakua tumefikisha ujumbe kwa hawa nyonya damu...
Salaam, Shalom!!
Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi,
1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji.
2...
Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo
Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu
Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
Salaam, Shalom!
Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani.
Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?