Habari za wakti huu?
Hizi ni baadhi ya biashara ambazo unaweza kuanzisha na kuzifanya kwa njia Mtandao.
Duka la Mtandaoni (E-commerce): Hii inahusisha kuuza bidhaa mtandaoni. Unaweza kuunda bidhaa zako au kuzipata kutoka kwa wauzaji na kuziuza kupitia majukwaa yako.
Dropshipping: Hii ni aina ya...