katiba mpya

  1. Lord denning

    Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Amos Makalla: Katiba Mpya si jambo la mara moja, CHADEMA wanaangalia Uchaguzi tu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makalla ameyasema hayo siku ya Jumatano Machi 05, 2025 wakati akizungumza na...
  3. J

    SI KWELI Mwenyekiti wa BAVICHA amesema vyama vya upinzani vitapata katiba mpya wakiwa bungeni sio kususia uchaguzi wenye

    Mwenyekiti wa bavicha amesema vyama vya upinzani vitapata katiba mpya wakiwa bungeni sio kususia uchaguzi kwenye ukurasa wake wa X (Twitter)
  4. R

    Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  5. Rorscharch

    Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  6. M

    Pre GE2025 Barua ya Wazi kwa Othman Masoud Othman makanu wa kwanza wa Rais ZNZ na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Lisaidie Taifa kupata katiba mpya

    Ndugu Othman Masoud Othman Assalam aleikum. Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi kwa manufaa ya Nchi nzima na Zanzibar kiujumla. Ndugu Othman Masoud, bila shaka unatambua kuwa...
  7. Waufukweni

    Kisa Lissu na Katiba Mpya, CCM na CHADEMA watupiana maneno ''Vijana wa CCM wameishia kupiga makofi na kubeba mabegi"

    Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya 'No Reform No Election' na Katiba Mpya akidai hoja haina mashiko...
  8. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Kasi ya wataka Ubunge kuja na mapambio kuhusu Rais Samia, ni uthibitisho tosha kuwa anayewaweka Madarakani ni Rais sio Wananchi !!. Katiba mpya lazima

    Haingii Akilini Kila kukicha, utasikia Huyu Kaandaa Dua ya kumuombea Rais Samia. Huyu Kaandaa Kongamano la kumpongeza Rais Samia. Huyu Kaandaa Washa ya wakina Mama kumsemea Rais . Huyu anakuja na Hala Mamaaa Huyu anakuja na Mama asemewe Rais anaalikwa hadi kwenye matamasha ya uchekeshaji...
  9. mwanamwana

    Pre GE2025 Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba

    Na Askofu Bagonza RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU: Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM. Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM, lakini HALAZIMIKI kurithi misimamo ya JPM kuhusu chaguzi zetu na mahusiano mabaya na vyama vya upinzani...
  10. Carlos The Jackal

    Hotuba za Luhaga Mpina na Tundu Lissu, zimetuonyesha watanzania Umuhimu wa Katiba mpya Ili kuipata Tanzania mpya

    Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini. Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya Mpina, Bashiru n.k Kwa kisingizio cha Sukuma Gang ili mwisho wa siku muwe ni sikio la Kufa. Lissu yupo...
  11. Lord denning

    Umuhimu wa KATIBA MPYA: Mkuu wa Itifaki Serikalini avaa nguo za CCM

    Kuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa. Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya kiasi cha kusikitisha na kuogopesha. Mkuu wa Itifaki Serikalini ( Chief of Protocol) ni cheo cha...
  12. Lord denning

    Zijue sababu za kwanini CCM hawawezi kukubali KATIBA MPYA inayoweka nguvu kwenye mifumo kuliko Wanasiasa.

    1. Katiba hii imewapa nguvu Wanasiasa na Wateuliwa wao kuamua chochote bila kuhojiwa na kuwajibika kwa yeyote. Hili linawawezesha CCM kutumia fedha za Umma kwa shughuli zao bila kuhojiwa na kuambiwa lolote na yeyote. Leo hii kwenye Halmashauri zetu Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza pewa amri na...
  13. M

    Pre GE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano...
  14. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  15. Lord denning

    System ikishindwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya sasa, miaka michache ijayo tutakuwa Failed State

    Sote tunaona! Kwa hali ilivyo sasa, endapo hatujapata Katiba Mpya sasa inayowawekea Viongozi wa kisiasa speed governor huku ikiweka nguvu kubwa kwenye mifumo ya nchi kuendesha na kuamua masuala ya msingi kuna wasiwasi mkubwa sana nchi yetu kuenda kuwa failed state miaka michache ijayo. Kwa...
  16. R

    Pre GE2025 Free Dr Slaa, tunamuhitaji kudai Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Oct 2025

    Hellow Tanganyika! Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano. KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza, kutii na kutekeleza matakwa ya umma wa wananchi Watanzania tutakao mabadiliko ya Kweli kimfumo Ili...
  17. Mr002

    Sasa ni wakati wa kupata katiba mpya

    Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...
  18. Genius Man

    Katiba mpya sio Katiba ya CHADEMA au ya fulani ni Katiba ya Watanzania maskini

    Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

    Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano" Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
  20. Lord denning

    Imeisha hiyo: Samia ndo Rais 2025-2030. Nguvu zote zielekezwe kwenye Katiba Mpya iliyo bora

    Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo. Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya mwili aliyowapiga kule Dodoma wote mliokuwa mnapanga kumuangusha kupitia mchakato wa ndani ya...
Back
Top Bottom