Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao.
Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
Heshima yako Dr,
Heshima yako ya kutukuka ilianzia kwenye Bunge la katiba, uongozi wako na usimamizi wako wa Bunge hilo ulikubeba katika hiyo nafasi uliyonayo. Ninaiona ikikujengea heshima zaidi kwa kuamua kutoka ndani ya moyo ukikamilisha zoezi hilo.
Tangaza kwa maslahi mapana ya Taifa...
Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
Huwa tunakosa focus , mabango mengi kila bango lina ujumbe wako ,sasa watawala wafanyie kazi kipi ?
Katiba mbovu ndio chanzo cha kila kitu hasa upande wa madaraka ya Rais na muundo wa tume ya uchaguzi .
Wateuliwa wa rais ni wengi sana na wote wanafanya ili waendelee kubaki kwenye hizo nafasi...
Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi.
Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.
Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza...
Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna baadhi ya mawazo kuhusu mamlaka hayo:
1. Kupunguza Mamlaka ya Kuteua: Rais awe na uwezo wa kuteua...
Katika mapendekezo ya katiba mpya nchini Tanzania, kuna maeneo kadhaa ambayo watu wengi wanapendekeza yafanyiwe marekebisho. Haya ni baadhi ya mambo muhimu:
1. Mipaka ya Madaraka ya Rais: Pendekezo ni kupunguza nguvu za madaraka ya Rais ili kuwe na uwiano bora wa madaraka kati ya mihimili...
Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli
Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima
Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi...
Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho unaofanyika leo, Alhamisi Agosti 01.2024, jijini Dodoma, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Wakili Harold Sungusia amesema
Katika eneo la utoaji wa elimu kwa umma TLS (Chama cha Mawakili Tanganyika) tumeweza kufanya makongamano...
So far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and real kwa nchi yetu, briefly hana cha kupoteza)
Naamini mama aliletwa kwa mipango ya Mungu ya kuifanya...
Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya.
Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali...
Natembea sana nje ya Tanzania. Natembea sana ndani ya Tanzania. Najua dunia inaenda wapi na inahitaji vitu gani kwa sasa!
Kwa maeneo mengi ya nje ya Tanzania niliyotembelea, Tanzania inasemwa vizuri saivi, hali ya kuvutia uwekezaji wa ndani na nje inasemwa kuwa nzuri sana!
Hata Dar ambapo ndo...
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata kama Serikali haitakuwa tayari kuwapatia Watanzania Katiba mpya.
Akizungumza na MwanaHALISI Online...
Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na LAZARO NYALANDU wote hawa hawakua chaguo sahihi kwa chama kikubwa cha upinzani.
Mipango mkakati ya...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za kwa maslahi ya taifa, ambazo huwa na maswali, hoja, majibu utaweka mwenyewe, swali la leo ni kujiuliza kwa sauti, asking aloud: "Je Rais Samia anajua kuwa Katiba yetu ina ubatili fulani, uliochomekewa kiubatili hivyo...
Tanzania tumekuwa na hamu sana ya kutengeneza Katiba mpya bila kujali kama Wananchi wanajua maana ya Katiba ama la
Kenya Wana Katiba mpya lakini Rais Ruto amesema Mahakama inamuhujumu hivyo hataisikiliza bali ataendelea na KAZI zake kama alivyopanga
Ruto amesema Mahakama ni kakikundi la Watu...
Habarini za humu ndani ndugu zangu
Mimi kama ni mwana Jamii Forom, tena mwenyeji wa muda mrefu sana humu ndani, naomba nami nichangie mawazo yangu hasa kwenye Tanzania tuitakayo kwa ajiri ya kizazi kilichopo na kijacho.
1. Katiba mpya itaweza kuja na mwarobaini hasa kwa Rais aliyepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.