katiba mpya

  1. T

    Kizazi bora Tanzania kiongozwe na agenda nne muhimu

    Ukiangalia nchi inakoelelekea kwa kizazi kipya na cha kileo Tanzania, bila kujali itikadi ya chama chochote, dini, kabila na ukanda, agenda muhimu kwa sasa ni Katiba Mpya, Tume Huru, Ulinzi wa Raslimali za nchi, upatikanaji wa teknolojia bora, maisha rahisi na bora kwa nchi yetu. Na hivi...
  2. kavulata

    Katiba mpya iongeze wigo wa uwajibikaji, sio kupanua demokrasia.

    Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu wao. Tunataka katiba mpya ambayo itawalazimisha watu wote kufanyakazi na kuwajibika kwa matendo yao...
  3. tufahamishane

    Kama katiba mpya italeta hali kama Ya Kenya heri isiwepo

    Salaam wana jamvi mimi ni mzalendo ambaye muda wore najivunia kuwa M Tanzania. Nimekuwa nikifatilia Hali ya nchi ya Kenya kusema kweli Kenya inasikitisha 1: Kenya haiheshimu Rais 2: Uhuru wa kuongea umepitiliza kiasi kuwa kila mtu anaweza kumtukana kiongozi wa nchi kwa kusingizia Katie...
  4. M

    Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
  5. Tlaatlaah

    Kama Taifa nashauri tukubaliane kwa kauli moja kwamba majadiliano ya katiba mpya yaanze rasmi baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Kutokana majukumu ya maandalizi mazito ya kazi za kikatiba kitaifa, kwa mfano ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini nzima, pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025.. Mambo haya muhimu kwa taifa, yanahitaji muda mwingi wa kutosha kijipanga na kuyaandaa, yanahitaji umakini, utulivu, uangalifu...
  6. Pfizer

    Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  7. Shaadya Salum

    Kiongozi aliyemezwa na tamaa kwa kuwadhulumu mafukara haamini kama kuna siku ya kiama

    Wewe ni kiongozi. Unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo wewe kiongozi kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM uliahidi kuvilinda, kuvitetea, na kuvihifadhi. Mheshimiwa Rais anasisitiza haki, lakini wewe husikii; umeweka pamba masikioni...
  8. B

    Katiba Mpya imefanya Mapinduzi ya Kiuchumi, Kenya imezipiku Mapato ya Tanzania, Uganda na Rwanda kwa Pamoja

    Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida. Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha zako mwenyewe. Kwenye upande wa kudhibiti matumizi na kuhakikisha hakuna ukwepaji wa kodi, upotevi...
  9. T

    Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  10. E

    Hakuna haja ya Katiba Mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitosheleza

    Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie nina sema kuwa hakuna haja ya katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo inajitoshereza. Sasa hivii linalotakiwa kujadiliwa ni ajira kwa walimu na afya kwani shule na vituo mama kajenga lakini wafanyakazi...
  11. J

    Katiba mpya ni sasa.

    Hawa ccm wanafikiri watanganyika ni wadanganyika. Yaani wachota mabilioni ya Kodiak zetu kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Halafu walivyo ona katiba mpya itawatowa madarakan8 wakaamuwa kuzima mchato mzima ,bila hata huruma ya Kodi za Masikini zilizo kwisha tumika. Sasa bila katiba mpya...
  12. Pfizer

    TLS waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya Katiba mpya

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya katiba mpya Kipekee napenda kuwakaribisha katika mdahalo wetu wa mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya #KatibaMpyaNiSasa Mariam Othuman, Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria...
  13. Mturutumbi255

    Pre GE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali. Hoja za Kushiriki 1...
  14. Nehemia Kilave

    Kama kuna kitu cha msingi kuandamana basi ni kuwepo na mabadiliko kwenye katiba yaruhusu Viongozi kushitakiwa baada ya Madaraka

    Hili ni la msingi sana, kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani. Hili ni la msingi sana tuweke uchama pembeni.
  15. S

    Kutegemea Katiba Mpya bora chini ya CCM iliyoko madarakani ni sawa na kusema Yanga wasimamie kutungwa sheria mpya za Ligi Kuu baada ya kuwa mabingwa!

    Tusijidanganye. CCM hawana nia ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya inayotoa fursa bora katika utawala wa sheria nchini na ushindani sawa wa vyama vya siasa. Hilo halitakuja kutokea hata siku moja. Kutegemea hilo litatokea ni sawa tu na mashabiki na timu zao za Simba, Azam, Kagera, Mtibwa nk...
  16. Abdul Said Naumanga

    Mbeya: Mjadala wa wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya

    Karibu kufatilia Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, mjadala huu umeandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS). RECORDED 📺 (22/06/2024 - Dodoma)👇🏼 https://www.youtube.com/live/9cpdC61xmgA?si=lcM2ol5EL11NRUhv RECORDED 🎥 (15/06/2024 - Dar Es Salaam)👇...
  17. Abdul Said Naumanga

    TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania

    Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?. RECORED🎥 (01/06/2024)👇 https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d RECORDED 🎥...
  18. Crocodiletooth

    Umefika wakati Jakaya Kikwete ajitokeze na aseme kwanini alisitisha mchakato wa Katiba Mpya

    Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule! Just simply case! Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue! Pia soma: Kwanini Jakaya...
  19. DaudiAiko

    Pre GE2025 Tume Huru na katiba mpya ni visingizio. Fahamu sababu inayowazuia wapinzani kuingia Ikulu

    Je hii ndiyo sababu pekee?
  20. wheedenTz

    Vipengele wezeshi kwa vijana katika mchakato wa katiba mpya bado vinazungumzika?

    Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya? Au vijana tushapigwa chini watu...
Back
Top Bottom