Wakuu, ni wazi kabisa kwamba mchakato wa kusuka Katiba Mpya barani Afrika sio lelemama hata kidogo. Tukio la jana, Juni 29, 2026, kwenye Bunge la Senegal limebainisha wazi kuwa safari hii sio lelemama, yaaani bunge liligeuka uskiku wa vitasa! Kushikana mashati, kusukumana, na kurushiana maneno...