katiba mpya

  1. Soloma TV Online

    Hivi Watanzania wanahitaji Katiba Mpya au Elimu ya Katiba Mpya?

    Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya. Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya? Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha...
  2. Suley2019

    Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

    Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo. “Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
  3. peno hasegawa

    Tanzania bila Maandamano hakuna Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Nimeandika kwa kifupi , nitachangia nikiamka.
  4. S

    CHADEMA msilete longolongo - Dai dume ni KATIBA mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi

    Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino. Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya...
  5. Gwappo Mwakatobe

    Kikwazo cha Katiba Mpya yenye mfumo wa vyama vingi ni CCM

    Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM. Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
  6. Mr Lukwaro

    Maneno ya Profesa Issa Shivji juu ya Katiba Mpya

    Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji...
  7. Mwl.RCT

    Live: Operesheni +255 - Katiba Mpya na Kuokoa Bandari Zetu huko Didia, Jimbo la Msalala

    https://youtu.be/X9GIuklmkK0 =
  8. R

    Wizara ya katiba na sheria imejizindulia utaratibu wa kula pesa za walipa kodi kwa kampeni ya elimu ya katiba mpya 2024/2026; waanza kuandaa mikutano

    Hii nchi kila kitu ni drama; waziri wa katiba na sheria na watumishi wa ofisi yake tayari wameandaa kinachoitwa kampeni ya elimu ya katiba mpya na bajeti yake inalengwa kwa mwaka wa kwanza kutumia si chini ya bilioni tisa. Watumishi wote wa ofisi yake wameshajiwekea ratiba hakuzunguka nchi...
  9. B

    Kuhusu Katiba Mpya na Kisa cha fisi kuufuata mkono wa binadamu akitumaini utaanguka. Upinzani mna malengo gani?

    Asalam, Kwanza naomba nikiri kuwa pamoja na kupenda sana siasa za kimabadiliko na kimapinduzi lakini pia ni realist. Realist kwa kawaida ni aina ya watu wanaouona klukweli kama ulivyo na unaamini tabia za mwanadamu zilizowahi kujionesha siku za nyuma na hamu ya kila mmoja kupata zaidi. Suala...
  10. Mohamed Said

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  11. Analogia Malenga

    Kinana: Demokrasia Inaendelea Kukua Tanzania

    Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
  12. K

    Katiba Mpya iweke kiwango cha elimu ya mbunge anayetaka kugombea

    Ninashauri Katibu mpya iweke kiwango cha elimu ya Mbunge anayetaka kugombea. Tumechoka kusikia sifa ya mgombea ni kuwa awe anajua kusoma na kuandika. Karne hii?. Hii ndiyo maana wanapitisha mambo mengi wasiyoyaelewa. Mgombea Ubunge wa uchaguzi ujao sharti awe na shahada ya kwanza na...
  13. Lady Whistledown

    CAR: Katiba Mpya yapita kwa zaidi ya asilimia 95

    Kamati inayosimamia kura ya Maoni ya #KatibaMpya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza Matokeo ya awali ambapo Katiba iliyopendekezwa imepita kwa zaidi ya 95% Katiba hiyo inaondoa kikomo cha Vipindi Viwili vya Urais na kuongeza muda wa Muhula kutoka Miaka 5 hadi 7, pia inawazuia Wanasiasa...
  14. R

    CCM watashinda, lakini wajue hukumu hiyo itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya 1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama...
  15. R

    Mbowe haondoki kwenye Uenyekiti mpaka tupate Katiba Mpya na Tume huru

    Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru! Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche...
  16. Hismastersvoice

    Kwenye Katiba Mpya tulikatae neno "uchochezi"

    "Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa ukitaka nchi iwe na katiba mpya mtawala haitaki hivyo unayeitaka atakuita mchochezi kisa, ni...
  17. Ileje

    CHADEMA watashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 bila katiba mpya

    Tundu Lissu amewarai wananchi kuichagua CHADEMA katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025 ili tuweze kupata katiba mpya itakayolinda rasilimali zetu na kumuwajibisha Rais asiyezingatia kiapo chake cha kulinda katiba na sheria za nchi. Hayo ameyasema alipowahutubia wananchi...
  18. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Msingi wa Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania kwa Maslahi ya Umma

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: MSINGI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA KWA MASLAHI YA UMMA Utangulizi Katiba ni waraka muhimu unaounda misingi ya utawala na uongozi wa nchi. Mchakato wa kuandika Katiba Mpya unapaswa kujumuisha uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maono ya taifa...
  19. M

    Mheshimiwa Mbowe, mbona ajenda ya bandari na katiba mpya umeiacha kwenye mkutano wako huko Mutukula?

    Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana. Iweje Mwenyekiti...
  20. R

    SoC03 Mabadiliko katika utawala na uwajibikaji serikalini yanahitaji jicho la tatu

    Mtu yeyote akisimama mbele ya mkusanyiko wowote wa Watanzania akatoa kauli ya kwamba, ili kuwe na maenendeleo makubwa na kumfikia kila mtanzania, kunahitajika mabadiliko makubwa katika utawala na uwajibikaji serikalini; hakika hakutakuwa na mjadala. Ila mjadala utakuwepo, tena mkali; ikitakiwa...
Back
Top Bottom