Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha.
Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji.
Najua mnajua namna gani nchi hii...
Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere.
Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere.
Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni...
Nimetafuta nakala mbalimbali za Katiba ya Tanzania lakini hakuna sahihi? Ni zipi sababu zilizopelekea tusitie sahihi kama ilivyo kwenye sheria na nyaraka nyingine?
Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu:
Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo.
Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
Kuna tatizo kubwa hapa, haiwezekani ajali tu ifanye huyu mama anyanyasike na watoto wake. ATENDEWE HAKI tafadhali. Haya ndo matatizo halisi mnayopaswa kuyasikiliza na kuyatolea ufumbuzi wa HAKI kabisa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa,
Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale!
Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO.
Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:;
Kenya
Tanzania
Uganda
Burundi
Sudan Kusini
Somalia
Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba ya nchi yao?
Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm inalazimisha watumishi wa serikali kuwa wao ni waajiriwa wa CCM hivyo lazma kiwatumikie, Vivyo hivyo...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo!
Simple Mind Discuss People
Ordinary Mind Discuss Events
Great Minds Discuss Ideas。
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,wala ku discuss watu!。
Naomba wachangiaji tujadili hoja tuu ya msingi bila kutaja...
Ndugu Othman Masoud Othman
Assalam aleikum.
Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi kwa manufaa ya Nchi nzima na Zanzibar kiujumla.
Ndugu Othman Masoud, bila shaka unatambua kuwa...
Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi yetu(constitutional day) kukuza uzalendo na utaifa wa taifa. Ni muhumu siku hiyo ikawa katikati ya...
Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa).
Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM
➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Akizungumza kuhusu mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa mchakato huo, Wakili Mahando...
Ndugu zangu Watanzania, tuwape nafasi ya kutuongoza kwa sababu kama wanavunja katiba ya Chama chao, watashindwa nini kuvunja katiba ya Nchi?
Wameshaonesha kwamba hawawezi tena kuheshimu hata Katiba ya chama chao. Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano bora kwa vyama vingine, lakini wao wameonesha...
https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee...