katiba

  1. Pascal Mayalla

    Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku kama ya leo, miaka miwili iliyopita. Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "mgema akisifiwa, tembo...
  2. Zed

    Ni nini upya wa Katiba Mpya?

    Hili ni swali ambalo wananchi wanajiuliza ingawa sio kwa maneno hayo au muktasari kama lilivyo hapo juu. Wananchi wanajiuliza swali kwa maneno kama: je katiba mpya itaniletea chakula au itaondoa dhuluma, itanisadia kutumia rasilimali zangu vema? itathamini kura yangu na kuyafaa maisha yangu...
  3. DR HAYA LAND

    Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  4. Gwappo Mwakatobe

    Mwendelezo wa Danadana za Katiba Mpya

    Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni. Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Tupate Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2025 ili waliojenga madarasa hewa kwa trilioni 1.3 waburutwe mahakamani

    Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi. Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba ambayo itwajibisha wananchi. Tutakuwa na katiba ambayo rais na mawaziri wakizingua kwa ubadhirifu...
  6. GENTAMYCINE

    Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

    Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
  7. K

    Rais Samia: Suala la Katiba hakuna anayelikataa. Si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya. "Suala la katiba hakuna...
  8. Analogia Malenga

    Rais Samia: Kuhusu wabunge 19 wa viti maalumu tuiachie Mahakama, siwezi kusema neno

    Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke. Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani. Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti...
  9. Analogia Malenga

    Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  10. Wakili wa shetani

    Katiba mpya iweke ukomo wa mtu kuwa mbunge na diwani iwe miaka kumi

    Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
  11. B

    Tunahitaji Katiba yenye kutuwajibisha sote kwa Umma

    Tumeyasikia Ugiriki: Waziri mhusika wa usafirishaji wa serikali ya huko amejiuzulu. Ma stesheni master wamekamatwa. Nini kiwafanye wenye dhamana kwetu kuwajibika? Ndiyo maana watu watatekwa, pesa zitaibiwa, ajali zitatokea, nk, yaani mambo shaghala bagala. Uwajibikaji au matumaini ya...
  12. Black Butterfly

    Profesa Wajackoyah aishauri CHADEMA kuwa makini na Katiba Mpya

    Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora. Wajackoyah amesema suala la Katiba mpya linahitaji muda na maandalizi mazuri na Chadema wasifanye makosa kama walivyofanya wao...
  13. M

    Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  14. BARD AI

    Mexico: Wananchi waandamana kupinga Mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi

    JF SUMMARY Maandamano hayo yanafuatia hatua ya Bunge kupitisha Sheria inayopunguza Bajeti ya Mhimili huo, Kufunga Baadhi ya Ofisi pamoja na kupunguza idadi ya Wafanyakazi wake. Rais Andrés Manuel López Obrador ameishutumu Taasisi ya Taifa ya Uchaguzi (INE) kwa kutokuwa na Uzalendo na...
  15. B

    CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

    Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
  16. chiembe

    Kenya wana Katiba Nzuri, Tume huru ya uchaguzi, lakini Raila analalamika kuibiwa kura, na bei ziko juu, na tozo zimejaa

    Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka? Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu. Tozo ziko...
  17. Msanii

    Vote namba 20 ya Bajeti ina utakatifu gani dhidi ya katiba ya nchi?

    Tumemsikia kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo bwana Zitto pale Mbagala Zakhem akitueleza Watanzania namna mambo ya ajabu yanayoendelea Bungeni. Amesema kwa ufasaha kuwa kifungu namba 20 cha bajeti ambacho kina fedha za Takukufu, Usalama wa Taifa na matumizi binafsi ya Rais kimewekewa zuio na sheria...
  18. Pascal Mayalla

    Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa, Nipashe ya Leo. Leo ilikuwa niendelee makala ya wiki iliyopita kuhusu upatikana wa haki kupitia dhana ya Usuluhishi, lakini kwa vile makala ya wiki iliyopita ilibeba kichwa cha habari Je Wajua, Mhimili wa Mahakama Usipotenda Haki Unaweza Kushitakiwa?. Pongezi...
Back
Top Bottom