Kwa mara ya kwanza kabisa nitashiriki katika kongamano la KATIBA MPYA hapa kwa dhumuni maalum lenye kutoa fursa ya mawazo mbadala nje ya rasimu ama ile ilopendekezwa ambayo muda sii mrefu mchakato wake utaanza.
Ni matumaini yangu kuwa sii Wananchi wote walopata fursa ya kuchangia mawazo ama...
Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume.
Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
Maoni ya kupata Katiba mpya na safi itokane na WANANCHI wenyewe wa Kila makundi kupitia mikutano ya Kitongoji, Kijiji na mitaa na sio kutafuta wawakilishi ambao waliowengi wanatoa mawazo dhahania ya wenzao na sio wananchi. Ni HERI serikali itumie gharama kubwa ili kupata Katiba safi isiyona...
Salam!
Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake.
Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City kupitia FOX TV na Apple TV, wamepata fursa ya kushuhudia Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania...
Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga"
Chanzo: Jambo TV
Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020.
Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi vifungu vya sheria Bali inaweza Tu kufungua milango Kwa mabadiliko ya sheria.
NI wazi kabisa kwamba...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale anayoahidi.
Dk. Daninga alisema maelekezo ya Rais Dk. Samia kwa Jaji Mutungi inaonyesha yeye ni...
Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia.
Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
Na Bwanku M Bwanku.
Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani...
..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria.
..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa.
..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
Tuwe wawazi, tena kIroho safi tu.
Kupigania haki dhidi ya serikali za kiafrika si kazi ndogo:
Mtanzania gani mwenye kuwa na uhalali (moral authority) wa kumbeza Odinga kwenye harakati za huko kwao?
Nisiwachoshe, tusichoshane.
"Katiba mpya tunayoitaka ya kupewa mezani haipo. Asiyekuwa...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KATIBA NA SHERIA-ACT WAZALENDO NDG. VICTOR KWEKA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24.
Utangulizi.
Jana tarehe 25 April 2023 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/23. Bunge...
Waziri wa katiba na sheria ameshatangaza rasmi kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza mwezi wa Saba mwanzoni. Nilikuwa na ushauri kwamba makosa yaliyopelekea mchakato wa katiba mpya mwaka 2014 kukwama yasijirudie.
Nimeanisha makosa Kama yafuatayo:
1. Tume ya katiba ndio ipewe mamlaka ya...
Mbunge wa Bushosa, Erick Shigongo amependekeza Bunge lifanye maamuzi ya kumuwekea Kinga ya Kikatiba Mkurugenzi wa TAKUKURU ili aweze kufanya kazi kwa kujiamini na kuepusha kuingiliwa majukumu.
MHE. DAMAS NDUMBARO - BAJETI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI TSH. BILIONI 383.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), leo Bungeni Jijini Dodoma amewasilisha bajeti ya mpango wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2023/2024...
Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote.
Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa ni mpaka waone ndio waamini na hivyo jukumu letu sisi waona mbali ni kuwasaidia 'matomaso' before...
Habari wakuu, hamjambo?
Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila siku katika jamiii.
Nimetatizwa na jambo nikaona sio vibaya kama nitapata ufafanuzi kiasi. Hivi...
Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi:
Msimamizi:
ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania?
MSWAHILI:
Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.